Wanandoa kununiana mwisho inatakiwa kuwa siku ngapi?

Wanandoa kununiana mwisho inatakiwa kuwa siku ngapi?

Ni kweli ila kupigina hapana hasa kwa watu wazima watu watambue ukimpiga mtu mzima lazima kutakuwa na hali fulani ya chuki au kisasi hata watoto baadhi anaweza kuchukia mzazi wake kama kupiga itakuwa sehem ya kuelekezana
Ni kweli kabisa mkuu
Kupigana sio vizuri kwanza nguvu inatokaga wapi kumpga mtu anaekupikia akijaza pilipil msosi😄
 
Hivi naanzaje kukaa na mtu kaninunia? mara amebinua domo?

Aisee kuna watu mnajua kuvumilia!!! Tena akinuna mimi namuongezea makofi ya nguvu, nitamtimua kama fisi!!

Sibembelezi kisirani!! Akamnunie baba ake huko! Eboo!
 
Yanasameheka mkuu! Kupigana makofi siyo fresh kabisa! Kumbuka ulipoapa madhabuhuni ulisema huyu ni nyama katika nyama zangu na mifupa katika mifupa yangu. Sasa unapomdhaba makofi maanake unajipiga mwenyewe!
Hawa viumbe huwajui[emoji28][emoji28]
 
Hivi naanzaje kukaa na mtu kaninunia? mara amebinua domo?

Aisee kuna watu mnajua kuvumilia!!! Tena akinuna mimi namuongezea makofi ya nguvu, nitamtimua kama fisi!!

Sibembelezi kisirani!! Akamnunie baba ake huko! Eboo!
Hujapenda bro
 
Kununa Huwa wanaacha baada ya kula mzigo. Wewe mpige mashine tu na ataacha kununa.
 
Wanawake wana majaribu sana , ki ukweli mimi sishauri mtu kumpiga mkewe au mchumba nk, ila pia kipigo huleta heshima kwa mwanaume .

Nakupa mfano , mimi siyo mwepesi kupiga mwanamke ila ninapo ona kuna dharau furani ambayo haihitaji kukemewa tu , basi kipigo huchukua nafasi yake , tena ni kipigo hasa.

Tambua usije mpiga mwanamke kwa makosa madogo madogo , piga mwanamke mara moja tu,kama akiendelea kufanya yale yale muache,na tafuta mke mwingine. Pia angalia sehemu za kupiga usije ukaenda jera kwa mauaji.

Kuna wanawake walio waoga wa kupigwa, kofi moja anaanza kuomba msamaha, kuna wale wasio kubali kushindwa, unarusha kofi na yeye anarudisha kofi , hawa wapo.
Wa hivi unatakiwa ushushe kipigo heavy hadi atambue ni yupi muoji na yupi muolewaji,yupi mwanmke na yupi mwanaume.

Play safe, mwanamke hanuni zaidi ya siku tatu. Ukiona kanuna zaidi ya hizo siku jua huyo mi mkorofi na anataka mashindano au kipigo hakikumtosha,ndo mana nasema usipige kama kosa ni dogo ,muache tu na muonye kwa maneno matupu.

Onyo: usiwe mpigaji wa ovyo ovyo, ila siku ukikamata kupiga mtu,piga hadi maji aite mma .

Mimi ni mpole ila siku nikimkamata mtu cha moto lazima akione, na hatokaa asahau.

Mwisho: si vyema kupiga.
 
Ndugu zangu ishu ya kupiga wife mimi saiv nigekua jela mwaka wa nne saiv kwa maana hilo tukio kama lingetokea ningefungwa maisha aisee. Nmejiapisha sitajaribu kupiga mtoto wa mtu mi najijua nina hasira mbaya ya hatari.
 
Wakuu,juzi kati wife aliniletea kidomo nikamlamba makofi.
So tangu siku hiyo mpaka leo ni kama week ya pili kaninunia.
Je kununiana inafaa kuwa mwisho siku ngapi?
Nahisi utakuwa una kitanda cha futi 6x6 au 5x6. ukiwa na kitanda cha 3x6 mara nyingi kununiana hakuzidi siku mbili. (kuna somo ndani hapo)
 
Kwanini amvizie wakati ni wa kwake?
Yeye ambembeleze tu maisha yaendelee.
Haya mambo hayana mwenyewe! Hawa dada zetu akili zao wanazijua wenyewe, ukiishi na mwanamke ndani kuna mengi utayasikia na kuyaona.
Kuta ziendelee kutuficha
 
Wakuu,juzi kati wife aliniletea kidomo nikamlamba makofi.
So tangu siku hiyo mpaka leo ni kama week ya pili kaninunia.
Je kununiana inafaa kuwa mwisho siku ngapi?

Kabla ya kulala ndo mwisho
 
Kama wewe ni mwanaume kweli na rijlali, usiwe na hulka za hovyo za kibabe; unaweza mfanya mwanamke a smile in 5 minutes!

Tatizo wewe ndo umempiga kofi Halafu unataka tena aje akuombe msamaha na kujipendekeza kwako!

Ndoa sio mashindano; ni team work, ndoa ni story, kutaniana na kucheka; kwa huo mda kama hawajamla ni bahati sana!

Kuna vitu vya muhimu sana kuwaelewa wanawake, wanapenda Amani, kujisikia vizuri na salama, hapa wanaume tunafeli sana!

Haya upesi nenda kamtulize mkeo!
 
Wakuu,juzi kati wife aliniletea kidomo nikamlamba makofi.
So tangu siku hiyo mpaka leo ni kama week ya pili kaninunia.
Je kununiana inafaa kuwa mwisho siku ngapi?
Pole sn rafiki, hupewi chochote?
 
Wakuu,juzi kati wife aliniletea kidomo nikamlamba makofi.
So tangu siku hiyo mpaka leo ni kama week ya pili kaninunia.
Je kununiana inafaa kuwa mwisho siku ngapi?
Kiza kikiingia mitaa ya saa nane usiku hivi
IMG-20250111-WA0108.jpg
 
Back
Top Bottom