Wanandoa kununiana mwisho inatakiwa kuwa siku ngapi?

Ndio ilivyo, tena mlale uchi ili mpatane usiku huo huo. Hakuna tendo linalofanyika bila nafsi kuridhia, ukisharidhia mkimaliza tu mtayajenga na mnuno utaisha.
Hivi ni sheria ama mmejipangia hii ya kulala bila nguo πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Ikitokea emergency usiku inakuwaje πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Kulala uchi ni tamaduni ya wanandoa, sio wote though kwa sababu binafsi sipendi, labda siku ya tukio na likiisha natafuta bukta chaap 🀣🀣
 
Kuna mmoja alikuwa ana tabia ya kulala na kanzu, ndani havai chochote, siku hio katoka nje kakutana na wezi, akaanza kukimbizwa, akaona kama kanzu inampa uzito wa kupiga hatua zaidi ikabidi atupe kanzu, jamaa alikuwa anakimbia uchi bajaji haifiki ile spidi...

Baada ya kuwapiga chenga wezi, si akaanza kurudi nyumbani, kufika nyumbani kupiga hodi anaona noma familia ikitoka yupo kama alivyo zaliwa... Aisee ilikuwa noma sana...

Wanaolala na kanzu wanajielewa, watapita hapa kimya...
 
πŸ˜‚πŸ˜‚Si unaona Sasa Mimi nilipitiwa na usingiz nilivaa kinight dress ukilala kinapnda juu chote

Usiku naashwa jirani chumba Cha pili kaibiwa nikasema lahaula kuja kuangalia dirisha langu liko waz kioo kimesogezwa wavu wa ndani umesogezwa ila walishindwa kuiba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Yan wale wez km walichungulia πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Kulala uchi ni tamaduni ya wanandoa, sio wote though kwa sababu binafsi sipendi, labda siku ya tukio na likiisha natafuta bukta chaap 🀣🀣
πŸ˜„πŸ˜„
 
πŸ˜‚πŸ˜‚Si unaona Sasa Mimi nilipitiwa na usingiz nilivaa kinight dress ukilala kinapnda juu chote

Usiku naashwa jirani chumba Cha pili kaibiwa nikasema lahaula kuja kuangalia dirisha langu liko waz kioo kimesogezwa wavu wa ndani umesogezwa ila walishindwa kuiba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Yan wale wez km walichungulia πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Shukuru hio night dress iliyopanda juu iliwachanganya sana wezi wakashindwa kuiba...
Mwizi anapoingia ndani akikosa cha kuiba atakunywa hata maji aondoke...
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Muone Kwamba walichanganyikiwa ila walinichungulia bhana sio uongo
 
πŸ˜‚πŸ˜‚Si unaona Sasa Mimi nilipitiwa na usingiz nilivaa kinight dress ukilala kinapnda juu chote

Usiku naashwa jirani chumba Cha pili kaibiwa nikasema lahaula kuja kuangalia dirisha langu liko waz kioo kimesogezwa wavu wa ndani umesogezwa ila walishindwa kuiba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Yan wale wez km walichungulia πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Walifaidi sana🀣🀣
Mazingira hayaturuhusu kulala bila nguo, ila ni jambo jema sana kama mazingira yako vizuri. Pia vitanda visiwe vikubwa, 6x6 inaharibu sana ndoa.
 
Walipagawa na mali ya mwilini badala kuiba...hapo waliwaza mengi wakaona wafaidi kwa picha, potelea pwete kuiba 🀣🀣🀣😜
 
Walifaidi sana🀣🀣
Mazingira hayaturuhusu kulala bila nguo, ila ni jambo jema sana kama mazingira yako vizuri. Pia vitanda visiwe vikubwa, 6x6 inaharibu sana ndoa.
Wakati niko chuo nilikuwa na kitanda chat futi nne, mchuchu alisema kitanda kidogoo, nilimjibu "ndo kizuri kwa mgusano maana huendi mbali" πŸ˜…
 
Walipagawana na mali ya mwilini badala kuiba...hapo waliwaza mengi wakaona wafaidi kwa picha, potelea pwete kuiba 🀣🀣🀣😜
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒIla nyie
 
Hata mm nilisikia wakubwa wanasema wanandoa wasilale wakiwa wamenunia usiku huo huo mambo yaanze
Ni kweli ila kupigina hapana hasa kwa watu wazima watu watambue ukimpiga mtu mzima lazima kutakuwa na hali fulani ya chuki au kisasi hata watoto baadhi anaweza kuchukia mzazi wake kama kupiga itakuwa sehem ya kuelekezana
 
Wakuu,juzi kati wife aliniletea kidomo nikamlamba makofi.
So tangu siku hiyo mpaka leo ni kama week ya pili kaninunia.
Je kununiana inafaa kuwa mwisho siku ngapi?
kama ni mkeo wa NDOA mbembeleze tu..
Kama ni SOGEA tukae kaza FUVU asikuzoee
 
Back
Top Bottom