Mzee Kimamingo
JF-Expert Member
- Mar 31, 2024
- 1,861
- 4,462
Piga Mashine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna watoto hapo ndani? Kununiana ni upumbavu! Na huwa mnapata RAHA gani kuwapiga makofi wake zenu?Wakuu,juzi kati wife aliniletea kidomo nikamlamba makofi.
So tangu siku hiyo mpaka leo ni kama week ya pili kaninunia.
Je kununiana inafaa kuwa mwisho siku ngapi?
Shuka tu mkuu kwa maana mafahari wawili hawawezi kukaa zizi moja, so wewe tafuta namna umsemeshe tu ila pia unashindwa basi fuata ushauri wa jamaa aliyesema yeye alitafuta safari ya angalau wiki then from there mambo yakarudi kuwa sawa.Ni fully ububu mkuu
Kwanini amvizie wakati ni wa kwake?Mvizie usiku akiwa kalala mpige dudu kama kununa hakujaisha
Yanasameheka mkuu! Kupigana makofi siyo fresh kabisa! Kumbuka ulipoapa madhabuhuni ulisema huyu ni nyama katika nyama zangu na mifupa katika mifupa yangu. Sasa unapomdhaba makofi maanake unajipiga mwenyewe!Maudhi tu afsa
Wakuu,juzi kati wife aliniletea kidomo nikamlamba makofi.
So tangu siku hiyo mpaka leo ni kama week ya pili kaninunia.
Je kununiana inafaa kuwa mwisho siku ngapi?
Lakini asiende safari ya kwa mchepuko!Shuka tu mkuu kwa maana mafahari wawili hawawezi kukaa zizi moja, so wewe tafuta namna umsemeshe tu ila pia unashindwa basi fuata ushauri wa jamaa aliyesema yeye alitafuta safari ya angalau wiki then from there mambo yakarudi kuwa sawa.
Ushauri gani huu!KAMA KOSA LILIKUA LAKE FANYA HIVI, USIJISHUSHE KAMWE MWACHE YEYE AKUANZE.
acha matumizi kama kawaida weka mezani usiongee chochote wala usiage zunguka zunguka hapo nje ashtukie umeshaondoka. Chelewa kurudi nyumbani, na usiwe unakula chakula chake, usiwe na time nae kabisa hata tamuu usimwambie akupe piga kimnya kama unamchepuko kula huko urudi umeshiba, pia siku moja moja uwe unarudi nyumbani huku umevaa nguo ambayo haijui. Hapo asipo ongea tafuta namna ulale nje ya nyumba siku kadhaa na ujiamini hata akiuliza ulikua wapi usimjibu
Shuka tu mkuu kwa maana mafahari wawili hawawezi kukaa zizi moja, so wewe tafuta namna umsemeshe tu ila pia unashindwa basi fuata ushauri wa jamaa aliyesema yeye alitafuta safari ya angalau wiki then from there mambo yakarudi kuwa sawa.
haina formulaWakuu,juzi kati wife aliniletea kidomo nikamlamba makofi.
So tangu siku hiyo mpaka leo ni kama week ya pili kaninunia.
Je kununiana inafaa kuwa mwisho siku ngapi?
Na kuombana pesa kunaendelea ama hakuna?Miezi... Mwaka... Miaka 2 .... 🤣😅
Piga miti ndio utakuwa mwisho wa kununa.. piga miti kutwa mala tatu.. siku moja tu kwisha habari yake.. ataanza vichekoWakuu,juzi kati wife aliniletea kidomo nikamlamba makofi.
So tangu siku hiyo mpaka leo ni kama week ya pili kaninunia.
Je kununiana inafaa kuwa mwisho siku ngapi?
Ooh, kwahiyo hapo jamaa anapaswa afanyeje ili kurudisha hali ikae sawa?Udhaifu mkubwa wa Mwanamke na Uimara wake unategemea AFYA YA SAIKOLOJIA YAKE KUHUSU HISIA NA MWILI WAKE.
Una mwanamke mshamba sana yaani hajakupeleka polisi?Wakuu,juzi kati wife aliniletea kidomo nikamlamba makofi.