Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi tumekwishaaaa 😂😂😂😂Tushasoma tayari ukweli hapo ndo ulipo udhaifu wetu 😃😃
Jibu ili hapa fuata huu ushauriMi ilikua siku mbili nikaona hasira hazipoi, nikafunga safari ya wiki moja, nikiwa huko mapenzi yakarudi. Nimerudi nyumbani hapa mahaba ndi ndi ndi.
Some times give yourselves a space to heal.
Hii mbinu nimeipendaHajanuna huyo, kanunue jogoo mkubwa pita kwa jiko mkaangie mpelekee awe ànanukia vizuri.
Halafu akiipata harufu mshike tako ulipige busu! Atakufyoñya halafu utaona anajifanya hajaelewa, hakikisha unamla kabla ya kuku. Utaona jinsi mtàkavyo enjoy huyo kuku.
Hao wanakikundi wajinga sana, yaani wanapepea mtu kazimia huku yeye anachati JF!
Watu wanafki sana humu wanajidai ooh mwanamke hapigwi ooooh kesi hiyooo,Mfungie booster ya makofi
Unafeli wapi, hebu fanya namna unizibue hata moja.Mbona wewe umeninunia mke wangu na sijawahi kukupiga??..
Duh kwel mkuu,wanawake sio wa kuchekeachekea kindeziWatu wanafki sana humu wanajidai ooh mwanamke hapigwi ooooh kesi hiyooo,
Kumbe wengi wao mpaka wake zao vibogoyo kwa vipigo na minundu
Kipigo hiko mimi kwa kweli pia nakipinga sana sana lakini kumlamba kofi moja na makonzi mawili hiyo lazima bi must ,
Wanawake wana mdomo sana ukijitia baby baby sanaaa anakutia kidole cha macho kwahiyo kadiria dozi mpe sio umvimbishe jicho mtoto wa watu hapana, au umrukie mateke kama unacheza mieleka hapana,
Kwenye kikao cha mwisho tulikubalina ni kofi moja na makonzi mawili
Na mkwara mzito sanaa, tuache unafki huko vijijini tulipokulia chumbani kwa mzee unakuta bakora kabisaa mnajua ni ya watoto hii kumbe ya watoto na mama yao.
Wakuu,juzi kati wife aliniletea kidomo nikamlamba makofi.
So tangu siku hiyo mpaka leo ni kama week ya pili kaninunia.
Je kununiana inafaa kuwa mwisho siku ngapi?
hakuna baba hapaHapana
🤣Hao wanakikundi wajinga sana, yaani wanapepea mtu kazimia huku yeye anachati JF!
Sijuiagi kupigana na mtu mimi..Unafeli wapi, hebu fanya namna unizibue hata moja.
Mimi akijipeleka Polisi kesi ikiisha na mimi namalizia Talaka kabisaUna mwanamke mshamba sana yaani hajakupeleka polisi?
Peleka sadaka kwa mganga wako ili mkeo asije kukengeuka siku nyingine ukimchapa makofi asikupeleke central police.
Sikiliza kijana wewe ulikuwa refa ukamaliza mpira wako kwa Kibao na yeye yupo kwenye VAR anaangalia makosa yako mwacheeee mpaka apige filimbi or else utakula njano ya onyo, huwa wana njano za hatari hao 🤣🤣🤣🤣Wakuu,juzi kati wife aliniletea kidomo nikamlamba makofi.
So tangu siku hiyo mpaka leo ni kama week ya pili kaninunia.
Je kununiana inafaa kuwa mwisho siku ngapi?
Sijuiagi kupigana na mtu mim