Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Mwisho ni pale mmoja anapochoka kununa au kununiwa. Hivyo, kama umechoka kununiwa anza kusema naye.Wakuu,juzi kati wife aliniletea kidomo nikamlamba makofi.
So tangu siku hiyo mpaka leo ni kama week ya pili kaninunia.
Je kununiana inafaa kuwa mwisho siku ngapi?
ashindwe tu kujiongeza.Ajue tu anatafuniwa
Kabisaaashindwe tu kujiongeza.
Ni sawa tu why ashuke kama kosa ni la mwanamkeUshauri gani huu!
Dudu washaMvizie usiku akiwa kalala mpige dudu kama kununa hakujaisha
Mawazo mufuKAMA KOSA LILIKUA LAKE FANYA HIVI, USIJISHUSHE KAMWE MWACHE YEYE AKUANZE.
acha matumizi kama kawaida weka mezani usiongee chochote wala usiage zunguka zunguka hapo nje ashtukie umeshaondoka. Chelewa kurudi nyumbani, na usiwe unakula chakula chake, usiwe na time nae kabisa hata tamuu usimwambie akupe piga kimnya kama unamchepuko kula huko urudi umeshiba, pia siku moja moja uwe unarudi nyumbani huku umevaa nguo ambayo haijui. Hapo asipo ongea tafuta namna ulale nje ya nyumba siku kadhaa na ujiamini hata akiuliza ulikua wapi usimjibu
Kwa mwanamke kumnunia mumewe ni siku mbili na mwanamme kumnunia mkewe hata mwaka ili uwe na kisingizio cha kuchapa nje.Wakuu,juzi kati wife aliniletea kidomo nikamlamba makofi.
So tangu siku hiyo mpaka leo ni kama week ya pili kaninunia.
Je kununiana inafaa kuwa mwisho siku ngapi?
Ukifanya hivi anakushitaki kumbakaMvizie usiku akiwa kalala mpige dudu kama kununa hakujaisha
Pole snSipewi