Mayuri
Senior Member
- Feb 5, 2018
- 137
- 206
KwakweliHoja za kimaskini hizi matajiri kwa mwezi mara moja lkn maskini kwa siku mara kumi hana Cha kumuwazisha yy natumia kichwa cha chini kuwaza na sio cha juu
Hongera chama tawala
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenzetu wanaumiza vichwa wagundue vitu gani vya kuleta maendeleo sisi tunawaza kudindishana na kukojoleana mara ngapi utasema ni dozi [emoji16][emoji16][emoji16] mara kulana kimasikhara!
Sent using Jamii Forums mobile app