Wanandoa wanatakiwa wafanye tendo la ndoa mara ngap kwa siku?

Wanandoa wanatakiwa wafanye tendo la ndoa mara ngap kwa siku?

Kulingana na afya , nafasi na utashi wa wanandoa. Wao ndo huamua
 
haifai mkuu. kwa mwezi mara 1 hzo zingine waachie mabaharia wa rikiboy.
 
Wenye vitambi mmecoment wapi?😀😀😀😀
Nyie jitahidini sana misimbazi iwe ya kutosha ntapata kila raha.😁😁😁
 
Kadri mnavyojisikia! Mwenzio akiutaka unampatia, nawe ukiitaka anapaswa akupatie! Al muhimu hakuna mambo ya kufosiana.
 
Kila mboo isimamapo we zamisha


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mim naisi ndoa yangu itakuja kuwa na shida maana mabinti wengi huwa wananikimbia kwa sababu napenda sana sex hawawez kuvumilia hii hali bas naambuliaga kuachwa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja vijana waseme.

Zamani tulizoea mtu anarudi na matangazo ooo nimechoka, oo kazi nyingi kumbe ameshapitia masihara.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna siku mida ya jioni nimetoka kupiga misele. Kuna demu nilikuwa nimezoeana naye na alikuwa ananiita kaka. Ingawa hatuna undugu na anajua ninamke .

Nilimpitisha chochoroni na kufika sehemu tukawa tumesimama na kuanza kupiga stori . 123
Uzalendo ukanishinda nikaanza kushika choo. Binti akaniambia " Yani unataka kufanya ivi hafu ukifika kwa mkeo unamwambia umechoka .. ningekuwa me ndo mke wako. Ningekuwa sikubali ukisema umechoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom