Wanandoa wanatakiwa wafanye tendo la ndoa mara ngap kwa siku?

Wanandoa wanatakiwa wafanye tendo la ndoa mara ngap kwa siku?

Umenikumbusha Kuna manzi nilijifungiaga nae ndani siku tatu yani ni mwendo wa kugegedana tu non stop hakuna kutoka... tena mtoto alikuwa na genye yule ya mda wote yuko wet tu. .. kitandani 72hrs. So 10hrs jnawezekana kabisa ..

Sent using Jamii Forums mobile app
Nomaa siku 3 si mchezo, hamjaumwa kweli [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
To.mb.a tu mzee baba,ma bachelor hua wanapata kiu ya kupiga pumb.u mpk wakiona funguo inaingizwa kwny tundu la funguo wanadindisha.
 
Wala hatukuumwa. Unajua sex ni kama mazoezi ya kawaida tu.. kila tendo la dakika 20-30 lina unguza wastani wa 100 kcal kwahyo mziki wa siku mzima mnaweza choma 1000 - 1500 kcal ambapo ni sawa na mwendo wa kutembea kwa miguu 20-30 km yani kutembea mbezi to kariako in 12 to 24 hrs.. yani ni simple exercises mapumziko na vituo vingi
Nomaa siku 3 si mchezo, hamjaumwa kweli [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mnatakiwa mridhishane angalau mara mbili au tatu kwa wiki.
Lengo ni kila moja wenu afurahie, kama inakua ni adhabu kwa moja wenu ujue hapo sio afya tena.
 
Mkuu mnatakiwa mridhishane angalau mara mbili au tatu kwa wiki.
Lengo ni kila moja wenu afurahie, kama inakua ni adhabu kwa moja wenu ujue hapo sio afya tena.

Hili ndio jibu sahihi, walio ndani ya ndoa hususani wazoefu wataelewa vema ukweli na maisha ya ndoa katika utendaji wa tendo hilo.

Ndoa ni zaidi ya kufanya tendo. Kuna mengine mengi.

Anything in access is harmful matokeo mnachokana na kunuka ndani ya nyumba yenu...... matokeo kuchepuka na ndoa kuvunjika (vijana)
 
Back
Top Bottom