Wanandoa wanawezaje kuishi pamoja kwa muda mrefu?

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,397
Nyie mlioko kwenye ndoa miaka kwa miaka mnawezaje kuishi pamoja? Mimi naona kama kazi sana kuishi pamoja kushare kitanda na mtu kila siku.

Ukitoka asubuhi unamuona ukirudi nyumbani upo nae weekend upo nae siku nzima. Hivi hamchoki kweli?

Kuna muda mtu unakuwa unataka ukae pekee yako bila usumbufu, mood ya kuongea inakuwa haipo, unakua hutaki hata kumuona kiumbe chochote na simu unazima unatulia chumbani kimya unawaza mambo yako au kurelax na kuangalia yanayoendelea duniani.

Kwa watu walioko kwenye ndoa wanapata kweli muda wa kuwa alone?

Mimi nadhani hapa duaniani kila mtu anahitaji muda wa kuwa alone lakini kwa walioko kwenye ndoa inaonekana kama ngumu kupata muda huu.

Mnawezaje?

Nikifikiria hili tu nachoka kabisa.


 
Yaani kula papuchi moya [emoji28]miaka mitano mfululizo inachosha kinoma yaani hadi unatamani umwambie baby kwanini usiniletee rafiki yako mlioshibana nipige hata kimoya [emoji28]kubadilisha ladha,ila yote kwa yote uvumilivu ni ushujaa
 
Mbona kama umelikuza sana suala la mtu kutaka muda wa kuwa pekeyake.

Ni kweli kuna muda mtu aneweza kutamani awe pekeyake lakini ni muda mchache sana ukilinganisha na muda ambao mtu anahitaji kuwa na mwenza wake.
Hivyo huwezi ukaufanya kuwa ni kikwazo cha ndoa.

Au kwa upande wako huwa inahitaji muda mwingi zaidi kuwa pekeyako?
Kama ni hivyo basi uko sahihi.
 
  • Utasikia usinikumbatie nataka nilale niwe huru..
  • Ukihema unahema sana na unanihemea
  • Leo sina mood tu ya kuongea ila niko sawa
  • Wakati wa sex baada ya kimoja tu utasikia naumia

Dada unapepo, nenda kwa Masanja ukaombewe la sivyo maisha yako yatakuwa magumu sana maana hakuna mwanaume atavumilia huu upuuzi wako.
 
Mimi kwa siku nahitaji kua peke yangu kama masaa matatu ivi. Siku nyingine nakua sijisikii ata kuongea na mtu yoyote
 
Bado mtoto ukikua utajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…