Wanandoa wanawezaje kuishi pamoja kwa muda mrefu?

Wanandoa wanawezaje kuishi pamoja kwa muda mrefu?

Nyie mlioko kwenye ndoa miaka kwa miaka mnawezaje kuishi pamoja? Mm naona kama kazi sna kuishi pamoja kushare kitanda na mtu kla siku. Ukitoka asubuhi unamuona ukirudi nyumbani upo nae weekend upo nae siku nzima. Ivi hamchoki kweli?

Kuna mda mtu unakua unataka ukae pekee yko bila usumbufu, mood ya kuongea inakua haipo, unakua hutaki ata kumuona kiumbe chochote na simu unazima unatulia chumbani kimya unawaza mambo yko au kurelax na kuangalia yanayoendelea duniani. Kwa watu walioko kwenye ndoa wnapata kweli mda wa kua alone? Mi nadhani hapa duaniani kla mtu anahitaji mda wa kua alone lakn kwa walioko kwenye ndoa inaonekana kama ngumu kupata mda huu. Mnawezaje? Nilifikiria hili tu nachoka kabisa

Mimi na weza na na enjoy sana asipokuwepo siku mbili tu sina raha na kula vizuri siwezi tumezoea sana tumekua marafiki mno kuliko rafiki zetu wengine huko..
KIUFUPI SIJUTII
 
We kaa tu mwenyewe, sie wengine hatuwezi... Natamani hata kazini asiende akae tu ndani nimuone
Mie Siku zote napenda space. Tunakuwa pamoja popote ila kama hatuhitajiani utakuta kila mwanandoa yupo roomuni kwake.

Moja wetu Akijisikia anaruhisiwa kucross over na yakimalizika yaliyojili anarudi kwenye comfort zone yake.

Napenda maisha haya na ni 21yrs Sasa.
 
Mie Siku zote napenda space. Tunakuwa pamoja popote ila kama hatuhitajiani utakuta kila mwanandoa yupo roomuni kwake. Moja wetu Akijisikia anaruhisiwa kucross over na yakimalizika yaliyojili anarudi kwenye comfort zone yake. Napenda maisha haya na ni 21yrs Sasa.
Yap hii mwenyewe nimeipenda ss upate mwelewa ss
 
Asee umenikumbusha kitu baada ya mechi ya igenini nikalala huko huko asubuhi nilikuja kibabe sana mwisho mida ya 4 nikaomba shoo nikanyimwaa nyimwaa badae nikapewa nikapiga kibabe
Sio lazima uolewe, tafuta mwanaume, akuzalishe watoto unaotaka ila kila mtu awe anakaa kwake.

Mambo ya kukaa pamoja hayana umuhimu sana kama wote mtakubali kuwa responsible kwa watoto wenu.
 
Back
Top Bottom