Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasiochepuka wana moyo mgumu Sana kwakweli[emoji4]Yaani kula papuchi moya [emoji28]miaka mitano mfululizo inachosha kinoma yaani hadi unatamani umwambie baby kwanini usiniletee rafiki yako mlioshibana nipige hata kimoya [emoji28]kubadilisha ladha,ila yote kwa yote uvumilivu ni ushujaa
Wengine tunatamani asafiri mwaka mzima arudi akae wiki aende tena akakae miaka miwiliWewe ndo mimi aisee tuna miaka 11 lakin hata akisafiri machozi yananitoka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wengine tunatamani asafiri mwaka mzima arudi akae wiki aende tena akakae miaka miwili
Ukishakuwa kwenye ndoa hayo yanazoeleka.Nyie mlioko kwenye ndoa miaka kwa miaka mnawezaje kuishi pamoja? Mimi naona kama kazi sana kuishi pamoja kushare kitanda na mtu kila siku.
Ukitoka asubuhi unamuona ukirudi nyumbani upo nae weekend upo nae siku nzima. Hivi hamchoki kweli?
Kuna muda mtu unakuwa unataka ukae pekee yako bila usumbufu, mood ya kuongea inakuwa haipo, unakua hutaki hata kumuona kiumbe chochote na simu unazima unatulia chumbani kimya unawaza mambo yako au kurelax na kuangalia yanayoendelea duniani.
Kwa watu walioko kwenye ndoa wanapata kweli muda wa kuwa alone?
Mimi nadhani hapa duaniani kila mtu anahitaji muda wa kuwa alone lakini kwa walioko kwenye ndoa inaonekana kama ngumu kupata muda huu.
Mnawezaje?
Nikifikiria hili tu nachoka kabisa.
Nyie mlioko kwenye ndoa miaka kwa miaka mnawezaje kuishi pamoja? Mimi naona kama kazi sana kuishi pamoja kushare kitanda na mtu kila siku.
Ukitoka asubuhi unamuona ukirudi nyumbani upo nae weekend upo nae siku nzima. Hivi hamchoki kweli?
Kuna muda mtu unakuwa unataka ukae pekee yako bila usumbufu, mood ya kuongea inakuwa haipo, unakua hutaki hata kumuona kiumbe chochote na simu unazima unatulia chumbani kimya unawaza mambo yako au kurelax na kuangalia yanayoendelea duniani.
Kwa watu walioko kwenye ndoa wanapata kweli muda wa kuwa alone?
Mimi nadhani hapa duaniani kila mtu anahitaji muda wa kuwa alone lakini kwa walioko kwenye ndoa inaonekana kama ngumu kupata muda huu.
Mnawezaje?
Nikifikiria hili tu nachoka kabisa.
HeeeeWengine tunatamani asafiri mwaka mzima arudi akae wiki aende tena akakae miaka miwili
Tatizo vichwa vigumu😃Heeee
Kwani HAKUSOMA USHAURI WANGU?
Eniwei YOTE MAISHA.
#YNWA
Hao watoto si nao watakaa naye? Au atawapeleka kwa Bibi yaoSio lazima uolewe, tafuta mwanaume, akuzalishe watoto unaotaka ila kila mtu awe anakaa kwake.
Mambo ya kukaa pamoja hayana umuhimu sana kama wote mtakubali kuwa responsible kwa watoto wenu.