Boargene
Member
- Nov 13, 2018
- 66
- 70
Bro nmekuelewa. Ila yawezekana ukimpata mtu sahihi mambo yakawa freshNyie mlioko kwenye ndoa miaka kwa miaka mnawezaje kuishi pamoja? Mimi naona kama kazi sana kuishi pamoja kushare kitanda na mtu kila siku. Ukitoka asubuhi unamuona ukirudi nyumbani upo nae weekend upo nae siku nzima. Hivi hamchoki kweli?
Kuna muda mtu unakuwa unataka ukae pekee yako bila usumbufu, mood ya kuongea inakuwa haipo, unakua hutaki hata kumuona kiumbe chochote na simu unazima unatulia chumbani kimya unawaza mambo yako au kurelax na kuangalia yanayoendelea duniani. Kwa watu walioko kwenye ndoa wanapata kweli muda wa kuwa alone?
Mimi nadhani hapa duaniani kila mtu anahitaji muda wa kuwa alone lakini kwa walioko kwenye ndoa inaonekana kama ngumu kupata muda huu. Mnawezaje? Nikifikiria hili tu nachoka kabisa.
Sent from my SM-J810F using JamiiForums mobile app