Wanandoa wanawezaje kuishi pamoja kwa muda mrefu?

Bro nmekuelewa. Ila yawezekana ukimpata mtu sahihi mambo yakawa fresh

Sent from my SM-J810F using JamiiForums mobile app
 
Hongera sana kwa hili, mko vizuri sana.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Sio lazima uolewe, tafuta mwanaume, akuzalishe watoto unaotaka ila kila mtu awe anakaa kwake.

Mambo ya kukaa pamoja hayana umuhimu sana kama wote mtakubali kuwa responsible kwa watoto wenu.
Si mpaka awe responsible
 
Yaani kula papuchi moya [emoji28]miaka mitano mfululizo inachosha kinoma yaani hadi unatamani umwambie baby kwanini usiniletee rafiki yako mlioshibana nipige hata kimoya [emoji28]kubadilisha ladha,ila yote kwa yote uvumilivu ni ushujaa
Ni kweli. Na yeye ukute anachoshwa na dushe moja anatamani dushe la rafiki yako au jirani yako...mkiduu anavuta hisia kwa yule kaka anayeflirt nae kazini. Loh ndoa hizi nyoko sana
 
Una mapepo. Njoo tukuombee.
 
Sidhani kitu kama hicho zamani binti analetewa mtu wakuolewa nae bila matakwa nae lakini the end of the day anajikuta anampenda na ndoa zao zinadumu iwe sasa? hapo bidada nakupinga
Sawa mkuu
 
Athari za mgast hizo aka nyeto, acha mchezo wa kujichua mara 1 au piga kwa afya mara 1 kwa mwezi usifanye kama chakula....
 
Kwa mtu unayempenda utaweza tu kuishi nae muda wowote na kwa nyakati zote .
 
Mimi na weza na na enjoy sana asipokuwepo siku mbili tu sina raha na kula vizuri siwezi tumezoea sana tumekua marafiki mno kuliko rafiki zetu wengine huko..
KIUFUPI SIJUTII
Hongera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…