Wanandoa wanawezaje kuishi pamoja kwa muda mrefu?

Ndoa ni taasisi ya wito maalumu kwa watu maalumu.
 
Yaani kula papuchi moya [emoji28]miaka mitano mfululizo inachosha kinoma yaani hadi unatamani umwambie baby kwanini usiniletee rafiki yako mlioshibana nipige hata kimoya [emoji28]kubadilisha ladha,ila yote kwa yote uvumilivu ni ushujaa
Wasiochepuka wana moyo mgumu Sana kwakweli[emoji4]
 
Michepuko inadumisha ndoa,

Tukichepuka Tunapata muda na nafas za kuburudisha nyoyo zetu uko nje tukirudi ndani kiroho Safi kabisa upigizani kelele na mtu[emoji4]
 
Wewe ndo mimi aisee tuna miaka 11 lakin hata akisafiri machozi yananitoka
Wengine tunatamani asafiri mwaka mzima arudi akae wiki aende tena akakae miaka miwili
 
Ukishakuwa kwenye ndoa hayo yanazoeleka.
 

Maisha ya ndoa ni maisha ya wenzi wa2 na ilo unalijua!!!! Kwaiyo kama haupo tayri kwa maisha ya wawili au kuwa na familia basi endelea kukaa peke ako.... Ila huku kwenye ndoa mkuu maisha ya peke yako hayapo maybe kama hamna watoto utapata nafasi yakuwa eke ako
 
Sio lazima uolewe, tafuta mwanaume, akuzalishe watoto unaotaka ila kila mtu awe anakaa kwake.

Mambo ya kukaa pamoja hayana umuhimu sana kama wote mtakubali kuwa responsible kwa watoto wenu.
Hao watoto si nao watakaa naye? Au atawapeleka kwa Bibi yao
 
Niliwahi kuwaza hilo pia aisee, ni vipi labda kwa wale wenye visirani ama msioendana.

Mnalala mnaamka pamoja, we huna mood yeye anayo yani tafrani tupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…