nguvu ya buku
Senior Member
- Jul 15, 2025
- 168
- 549
Jumamosi tunawahi kutoka, wengi wanakula kwao. Jumapili ni offKwa wiki, kula nyumbani mara nne ili kuendeleza upendo wa mezani then kazini mara tatu ili kuwa karibu na wafanyakazi wenzako.
Siku mbili nyumbani, siku tatu kazini.Jumamosi tunawahi kutoka, wengi wanakula kwao. Jumapili ni off
Jumatatu hadi ijumaa ndio siku za kazi full time
Unataka kujitengenezea ugumu huko mbeleni. Siku ukishindwa kurudi kula nyumbani maswali kibao.Nyumbani ni mwendo wa dakika 20, kwahiyo kwenda na kurudi nikijumuisha na kupumzika ni kama saa 1 na nusu.
Nikifika wife ananipakulia na kuniandalia meza nile, ni mke wa nyumbani.
Kazini kuna restaurant wanayokwenda wenzangu wengi inayouza chakula, gharama sio tatizo
Je niendelee kurudi nyumbani kila siku ?
achukue hiiSiku mbili nyumbani, siku tatu kazini.
Akiwa na mtoto je?Una rudi mchana kwanini? Mwanaume nyumbani una rudi saa mbili kama huna mtoto
Saa moja kabla ya mtoto kulala ili acheze na mtoto mpaka saa mbiili ina tosha mtoto akilala anza mizagamuo kwenye kochi uelekeo chooniAkiwa na mtoto je?
Rudi nyumbani, ili siku nyingine ukimaliza kula lunch unamkula na mkeo kidogo.Nyumbani ni mwendo wa dakika 20, kwahiyo kwenda na kurudi nikijumuisha na kupumzika ni kama saa 1 na nusu.
Nikifika wife ananipakulia na kuniandalia meza nile, ni mke wa nyumbani.
Kazini kuna restaurant wanayokwenda wenzangu wengi inayouza chakula, gharama sio tatizo
Siku pekee ambazo sina ulazima wa kula mchana kazini ni Jumamosi na Jumapili, lakini kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa wengi hula kazini.
Je niendelee kurudi nyumbani kila siku ?
Kushauriana kwingi kwenye ndoa ni kichocheo cha kutokuelewana.Shauriana na mkeo bana.....
Umeoa ugundue niniNyumbani ni mwendo wa dakika 20, kwahiyo kwenda na kurudi nikijumuisha na kupumzika ni kama saa 1 na nusu.
Nikifika wife ananipakulia na kuniandalia meza nile, ni mke wa nyumbani.
Kazini kuna restaurant wanayokwenda wenzangu wengi inayouza chakula, gharama sio tatizo
Siku pekee ambazo sina ulazima wa kula mchana kazini ni Jumamosi na Jumapili, lakini kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa wengi hula kazini.
Je niendelee kurudi nyumbani kila siku ?
Wanawake wanapatikana sana aisee,Aya mambo inabidi muongee mkiwa uchi bhana , yani great thinkers wajadili kula mchana