Wanandoa wengi hawapendani

Sikatai wapo, lakini sio wote. Nina practical experience ya wachache ambao utu ni zaidi ya hizo pesa!!
Ukitaka kuprove hili ni pale mmoja anapokuwa hoi hospital huku mwingine akiwa anakula bhata kitaa.... Tumeona mifano live kabisa

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ukitaka kuprove hili ni pale mmoja anapokuwa hoi hospital huku mwingine akiwa anakula bhata kitaa.... Tumeona mifano live kabisa

Post sent using JamiiForums mobile app
Mkuu, unafukua makaburi?[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji125]
 
Kiapo cha ndoa kinasema nitakupenda mpaka kifo kitakapotutenganisha! Katika SHIDA na katika raha katika HALI YA UGONJWA na katika uzima..... Je tunaishi haya maneno?
Nimeikumbuka hii post baada ya post moja kufutwa leo! Haikudumu na ilitabiriwa hivyo na Watu nane(sijui kaanza lini utabiri?) [emoji3]
CC: KakaKiiza, Watu nane

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, unafukua makaburi?[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji125]
Imetokea live jana! Mwana anakula bata wife yuko mahututi! Tuishie hapahapa.... The wife is no longer [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Imetokea live jana! Mwana anakula bata wife yuko mahututi! Tuishie hapahapa.... The wife is no longer [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]

Post sent using JamiiForums mobile app
So sad, jamaa yupo viwanja anakula bata huku nyuma wife yupo hoi kwenye kitanda cha mauti. Mkuu, hao watu wanatokea ukanda gani??
 
So sad, jamaa yupo viwanja anakula bata huku nyuma wife yupo hoi kwenye kitanda cha mauti. Mkuu, hao watu wanatokea ukanda gani??
Yaliyomo yamo [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] ni kipindi cha majonzi

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ndio za sasa naweza kukubaliana na mtoa mada, maana kwanza ukitaka kuowa mtu unaangaliwa unanini unamiliki, na kama huna unachomiliki basi utaishia kuita shemeji , lol
 
Duuuh hiyo mix hatari, kidogo tu ungekuwa mmarekani , lol
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Yaliyomo yamo [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] ni kipindi cha majonzi

Post sent using JamiiForums mobile app
Yaliyomo yamo? Ndio wakina nani hao??
 
Nimekumbuka ndoa jamaa yangu hapa JF, kwa ruhusa yake nitasimulia kisanga chake... Nasubiri

Jr[emoji769]
 
Kila wiki watu wanaoana nchi nzima. Hivyo visa vya kuuana ukisema uvifuatilie kwa mwaka unakuta ni vya kuokoteza.

Wengi wetu tunafurahia ndoa zetu ila hatuna muda wa kuja kuelezea uzuri wa ndoa zetu maana inakuwa siyo habari.

Ndege kila siku zinatua salama ila huwezi kupewa habari. Ikitokea imeanguka moja inakuwa breaking news dunia nzima. The same applies to ndoa.

Ndoa tamu wakuu.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]tamu kama nini.... Lakini pia ni chungu kama shubiri ama pakanga

Jr[emoji769]
 
Umeyajuaje hayo!? mawazo yako ndiyo unadhani yapo kwa wote itakua ww ulioa kwa tamaa ya mali au kuolewa kwa tamaa ya mali.
 
Ingekuwa poa kama ungerekodi hill tukio tuje kuliona hapa
 
Dah.....
Cc: Demiss fyi
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜Ž
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]tamu kama nini.... Lakini pia ni chungu kama shubiri ama pakanga

Jr[emoji769]

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kila kitu hapa duniani kina pande mbili. Kwenye maisha tunaangilia wingi.

Ndoa tamu ni nyingi kuliko chungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…