Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
nani wanawake wa kimachame huko uchaggani?!..naona mwataka kulianzisha tena, lolz...kuna kabila flani linasemwa sana aisee..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nani wanawake wa kimachame huko uchaggani?!..naona mwataka kulianzisha tena, lolz...kuna kabila flani linasemwa sana aisee..
Ukitaka kuprove hili ni pale mmoja anapokuwa hoi hospital huku mwingine akiwa anakula bhata kitaa.... Tumeona mifano live kabisaSikatai wapo, lakini sio wote. Nina practical experience ya wachache ambao utu ni zaidi ya hizo pesa!!
Mkuu, unafukua makaburi?[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji125]Ukitaka kuprove hili ni pale mmoja anapokuwa hoi hospital huku mwingine akiwa anakula bhata kitaa.... Tumeona mifano live kabisa
Post sent using JamiiForums mobile app
Imetokea live jana! Mwana anakula bata wife yuko mahututi! Tuishie hapahapa.... The wife is no longer [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]Mkuu, unafukua makaburi?[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji125]
So sad, jamaa yupo viwanja anakula bata huku nyuma wife yupo hoi kwenye kitanda cha mauti. Mkuu, hao watu wanatokea ukanda gani??Imetokea live jana! Mwana anakula bata wife yuko mahututi! Tuishie hapahapa.... The wife is no longer [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Post sent using JamiiForums mobile app
Yaliyomo yamo [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] ni kipindi cha majonziSo sad, jamaa yupo viwanja anakula bata huku nyuma wife yupo hoi kwenye kitanda cha mauti. Mkuu, hao watu wanatokea ukanda gani??
Duuuh hiyo mix hatari, kidogo tu ungekuwa mmarekani , lolmmh mimi nimeongea kwa ujumla wake lakini mimi kabila langu ni mix grill ya mluya msandawe mmasai na mmanda
Yaliyomo yamo? Ndio wakina nani hao??Yaliyomo yamo [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] ni kipindi cha majonzi
Post sent using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]tamu kama nini.... Lakini pia ni chungu kama shubiri ama pakangaKila wiki watu wanaoana nchi nzima. Hivyo visa vya kuuana ukisema uvifuatilie kwa mwaka unakuta ni vya kuokoteza.
Wengi wetu tunafurahia ndoa zetu ila hatuna muda wa kuja kuelezea uzuri wa ndoa zetu maana inakuwa siyo habari.
Ndege kila siku zinatua salama ila huwezi kupewa habari. Ikitokea imeanguka moja inakuwa breaking news dunia nzima. The same applies to ndoa.
Ndoa tamu wakuu.
Umeyajuaje hayo!? mawazo yako ndiyo unadhani yapo kwa wote itakua ww ulioa kwa tamaa ya mali au kuolewa kwa tamaa ya mali.Wanaishi pamoja kama kawaida lakini wamechokana, mama anatamani baba afe ili arithi mali, baba anatamani mama afe ili aoe dogodogo. Halafu mbaya zaidi wanaombeana vifo vya ghafla na kuugua kwa muda mfupi.
Yaliyomo moyoni yangejiandika usoni tungeshuhudia mengi ya ajabu mno.
Kama?!Wewe ni wa kabila gani?kuna makabila yanayothamini mali kuliko utu!
Ingekuwa poa kama ungerekodi hill tukio tuje kuliona hapaWanaishi pamoja kama kawaida lakini wamechokana, mama anatamani baba afe ili arithi mali, baba anatamani mama afe ili aoe dogodogo. Halafu mbaya zaidi wanaombeana vifo vya ghafla na kuugua kwa muda mfupi.
Yaliyomo moyoni yangejiandika usoni tungeshuhudia mengi ya ajabu mno.
Dah.....Wanaishi pamoja kama kawaida lakini wamechokana, mama anatamani baba afe ili arithi mali, baba anatamani mama afe ili aoe dogodogo. Halafu mbaya zaidi wanaombeana vifo vya ghafla na kuugua kwa muda mfupi.
Yaliyomo moyoni yangejiandika usoni tungeshuhudia mengi ya ajabu mno.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]tamu kama nini.... Lakini pia ni chungu kama shubiri ama pakanga
Jr[emoji769]