Wanandoa wengi huchepuka siku ya Jumamosi wanapohudhuria sherehe

Wanandoa wengi huchepuka siku ya Jumamosi wanapohudhuria sherehe

Jumamosi wanandoa wengi husingizia kwenda kuhudhuria sherehe za ndoa Kitchen party na birthday party.

Huko wanakoenda kuhudhuria hujikuta wanafanya mambo ya ajabu na aibu kabisa.

Kwa hiyo sasa tufanyeje mkuu? Tuwakataze hiyo Jumamosi wasitoke? Mtu mzima na akili zake huwezi kumkataza kufanya alilodhamiria moyoni mwake (iwe Jumamosi au siku nyingine).

#KuchapiwaHakuepukiki
 
Punda wa nyuma anachapwa ajabu anayelia ni punda wa mbele.
 
Kwa hiyo sasa tufanyeje mkuu? Tuwakataze hiyo Jumamosi wasitoke? Mtu mzima na akili zake huwezi kumkataza kufanya alilodhamiria moyoni mwake (iwe Jumamosi au siku nyingine).

#KuchapiwaHakuepukiki
Kuchapiwa kunaepushwa na mchapwaji mwenyewe akiamua.......
 
Back
Top Bottom