Wanandoa wengi huchepuka siku ya Jumamosi wanapohudhuria sherehe

Wanandoa wengi huchepuka siku ya Jumamosi wanapohudhuria sherehe

Sio weekend tu hata weekdays.....jana jioni tu kuna mshkaji wng kalala na mke wa mtu lodge kisa mume wa dem kasafiri na leo asubuhi kaamkia kazini. Siku hizo wake za watu wanagawa uchi kwa kasi ya 4G.....kunani huko ndoani???
 
Kwa hiyo sasa tufanyeje mkuu? Tuwakataze hiyo Jumamosi wasitoke? Mtu mzima na akili zake huwezi kumkataza kufanya alilodhamiria moyoni mwake (iwe Jumamosi au siku nyingine).

#KuchapiwaHakuepukiki
Sahihi kabisa.
 
Back
Top Bottom