Kirokonya
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 2,280
- 7,548
.....wanandoa hasa wake za watu ni wepesi sana kufyatuliwa. Hii inaendana na mazingira yake.
~kuna wanaofyatuliwa na shamba boys, wauza genge, wapaka rangi kucha, Bodaboda, na sababu mkubwa ni kupenda mtelemko.
~ Wewe mnunulie gari, lkn atafyatuliwa na mziba pancha au fundi makanika aliyemkwamulia gari au aliyemnunulia petrol ya elfu ishirini.
~mlipie ada ya chuo, atafyatuliwa na dogo atakayemsaidia group studies au lecturer na mengine yanayofanana na hayo!