Sema haki ya Mungu tena...Mtu akiamua kutimiza lengo lake hata ikiwa jtatu au jumapili litatimia tu, so tuangalie jinsi gani ya kuzuia wake za watu kuliwa siku yoyote tu, ushauri wangu ni kwamba wewe me ukiona ni mke wa mtu basi chonde jitahidi kukaa naye mbali, hata akikuletea papuchi ikatae katu. Kwa kufanya hivo watatulia na ndoa zao huko. Je mtaweza kukataa sasa🤪
Naomba tuchepuke jumamosi ijayo mkuuTufanyeje sasa no way!
Shida moja kumtambua ni mke wa mtu inakuwa ngumu.Mtu akiamua kutimiza lengo lake hata ikiwa jtatu au jumapili litatimia tu, so tuangalie jinsi gani ya kuzuia wake za watu kuliwa siku yoyote tu, ushauri wangu ni kwamba wewe me ukiona ni mke wa mtu basi chonde jitahidi kukaa naye mbali, hata akikuletea papuchi ikatae katu. Kwa kufanya hivo watatulia na ndoa zao huko. Je mtaweza kukataa sasa[emoji2957]
Wewe umesema, Hakuna mwenye hati miliki ya Papuchi zaidi ya mwenyewe. Kuigawa au kuibana ni yeye mwenyewe!Katikati ya wiki ndio safii.. Tengeneza vipindi na story kwamba job kazi tight sana.. Mzigo umeongezeka haswaa..
Then dei moja Sema Kuna overtime emergency kazi ya dharura. Kachakatee.. Rudi nyumbani. Kwa uchovuu oga lala.. Halafu mwambie asikuguse maana ofisi imekutumia sana.
Just kiss her and wish a good night to her.