ikipendaroho
JF-Expert Member
- Jul 26, 2015
- 3,903
- 3,856
Inasafirishika hiyo nyumba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah jmn[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]inawezekana kama Kiwanja kilikua cha urithi, bati ulipewa zawadi kwenye harusi, mbao uliiba kwenye ajali ya semi trailer za njombe, shimo la choo hukuchimba uliunganishia kwa jirani, cement uliiba kwenye mradi wa kijiji, mchanga ulikwangua kwangua ufukweni ukabeba na ndoo had saiti , hiyo 6M ukanunulia matofali na hela ya kumlipa fundi tu
Huko mchanga ni bei rahisi.Nipo mkoa wa pwani kisemvule