Wanangu wote nitazaa na mwanaume mmoja

Wanangu wote nitazaa na mwanaume mmoja

Dumuzii

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2019
Posts
3,593
Reaction score
8,595
Hii ni kauli ya warembo wengi hapa mjini...hivyo Basi wale wazee walio jibebea masingo maza wakae mkao wa kula.

Msiseme hamkuambiwa.
 
Hii ni kauli ya warembo wengi hapa mjini ...hivyo Basi wale wazee walio jibebea masingo maza wakae mkao wa kula.

Msiseme hamkuambiwa .
Hivi ni nini msingi wa huu msimamo?

Binafsi pia nimewasikia wengi wakitamka hii kauli, na ni masingo Mama. Tena wengine wamezaa na waume za watu...
 
Hivi ni nini msingi wa huu msimamo?

Binafsi pia nimewasikia wengi wakitamka hii kauli, na ni masingo Mama. Tena wengine wamezaa na waume za watu...
Sijui ndio fasheni au hata Mimi sielewi
 
Si mlisema mwaka huu mnawapumzisha single Mamas?
 
Si mlisema mwaka huu mnawapumzisha single Mamas?
Tuliitisha kikao cha dharura tukahairisha baada ya mimi mwenyekiti kutendwa na single mmama!,hivyo tuliazimia mwendo ni mperampera..😁
 
Hivi ni nini msingi wa huu msimamo?

Binafsi pia nimewasikia wengi wakitamka hii kauli, na ni masingo Mama. Tena wengine wamezaa na waume za watu...
Mtu kaamua kuzaa na mtu mmoja mnauliza msingi wake.. akizaa na wanaume tofauti mnawaita malaya. Binadamu hana jema.
 
🙄🙄🙄🙄🙄

Na utatendwa unyooke Kenzy.
Mwenyekiti nilichukua maamuzi haraka ili kuepusha jahazi lisizame,!.. Leo nimepata msala mwengine siwezi andika sahivi nahasira asubuhi tawaletea muone muuza CD alivyonikosesha tunda mjinga yule kenge ya brown iliyokosa nyonyo
 
Back
Top Bottom