ujinga huu, weka evidence..ndiyo maana JF unakuwa ukumbi wa umbea tu wa failures wa shule...TUsiwaumu, hata wewe unayesoma hapa, ukipewa 200M uachane na siasa (chadema) , utakataa?
Huo ni uongo!Ukiachana na babu kigaila, wengine wote watateuliwa ukuu wa wilaya na mikoa kama ilivyo kuwa kwa sendinga wa manyara na nasari.
TUsiwaumu, hata wewe unayesoma hapa, ukipewa 200M uachane na siasa (chadema) , utakataa?
Kisamvu kimefata nn kwenye comment yako....Naanzaje kuiacha 200M ati kisa uzalendo wa kuipigania chadema!!! Uzalendo Bongo! WE KUWEZA!
Hebu wanipe hizo hela mie niache kula ugali kwa kisamvu na kachumbari uchwara.
Cc: Tlaatlaah Extrovert Nyani Ngabu Lamomy Mbaga Jr Poor Brain cocastic Kapeace binti kiziwi secretarybird Lucas Mwashambwa ChoiceVariable
Utafanya wasubiri vyeo wa CCM wawaloge au kuwateka sasa. Hukusikia yule naibu waziri akiwaambiwa CCM wenzake kuwa yeye ni mafia na alikuwa timu ya ulinzi ya rais? Anasema jimbo ni lake na hakuna wa kumnyang'anya ?Ukiachana na babu kigaila, wengine wote watateuliwa ukuu wa wilaya na mikoa kama ilivyo kuwa kwa sendinga wa manyara na nasari.
TUsiwaumu, hata wewe unayesoma hapa, ukipewa 200M uachane na siasa (chadema) , utakataa?
Utahema kama chura, hapo wana haki ya kujizima dataUkiachana na babu kigaila, wengine wote watateuliwa ukuu wa wilaya na mikoa kama ilivyo kuwa kwa sendinga wa manyara na nasari.
TUsiwaumu, hata wewe unayesoma hapa, ukipewa 200M uachane na siasa (chadema) , utakataa?
😂😂Ukiachana na babu kigaila, wengine wote watateuliwa ukuu wa wilaya na mikoa kama ilivyo kuwa kwa sendinga wa manyara na nasari.
TUsiwaumu, hata wewe unayesoma hapa, ukipewa 200M uachane na siasa (chadema) , utakataa?
Michadema chakavu inaharibu sana hili jukwaa siku hizi. Natamani mods wangekuwa serious kidogo na kufutafuta hivi vinyuzi vya kitotoujinga huu, weka evidence..ndiyo maana JF unakuwa ukumbi wa umbea tu wa failures wa shule...
Nawasikitikia wale fuata mkumbo ambao hawajui kuwa wenzao wamelamba 200m wao wanalishwa maneno tu kama misukule.Ukiachana na babu kigaila, wengine wote watateuliwa ukuu wa wilaya na mikoa kama ilivyo kuwa kwa sendinga wa manyara na nasari.
TUsiwaumu, hata wewe unayesoma hapa, ukipewa 200M uachane na siasa (chadema) , utakataa?
Kwa hiyo waliosota na ccm Yao wanawekwa benchi eeh, aisehhUkiachana na babu kigaila, wengine wote watateuliwa ukuu wa wilaya na mikoa kama ilivyo kuwa kwa sendinga wa manyara na nasari.
TUsiwaumu, hata wewe unayesoma hapa, ukipewa 200M uachane na siasa (chadema) , utakataa?
Hawajui kupiga kelelele majukwaani hao wasaliti toka chadema watatumika kuinanga chadema kwamba wametoka huko chadema kwasababu chadema haina dira kumbe wao ndiyo hawakuwa na dira tena walikuwa makao makuu ambako hulipwa mishahara na posho wakati huko mikoani wengine hujitoleaKwa hiyo waliosota na ccm Yao wanawekwa benchi eeh, aisehh
True, especially those who are figure heads, (not able to stand on their own)They will be dumped after election
YES ,TAARIFA ZA UHAKIKA NI KUWA WATAGOMBEA WA CHACHE NA WENGINE WATAPEWA NAFASI ZA UKUU WA WILAYA NA MKOAUkiachana na babu kigaila, wengine wote watateuliwa ukuu wa wilaya na mikoa kama ilivyo kuwa kwa sendinga wa manyara na nasari.
TUsiwaumu, hata wewe unayesoma hapa, ukipewa 200M uachane na siasa (chadema) , utakataa?