Tetesi: Wanao jitoa chadema ni list ya wakuu wa wilaya wakuteuliwa kuanzia 2026

Ukiachana na babu kigaila, wengine wote watateuliwa ukuu wa wilaya na mikoa kama ilivyo kuwa kwa sendinga wa manyara na nasari.

TUsiwaumu, hata wewe unayesoma hapa, ukipewa 200M uachane na siasa (chadema) , utakataa?
hawa ni washenzi hawafai kuwa viongozi kwa sababu wana tamaa na ni rahisi kusaliti wananchi wakihongwa kama yuda iskariote watauza nchi hawa wahuni wasio na msimamo.
 
Huo ni uongo!

Imagine kumpoteza Aisha Madoga, halafu baada ya kujitathmini tunakaza mafuvu na kulaumu mafisiemu pekee, mimi pia siwapendi kijani ila naona kabisa kuna shida mahali ndani ya chama ila inafumbiwa macho.
Hakuna shida ila Mfumo umewaingilia fikiria kumkamata Mwenyekiti Wa chama kipindi hiki nyeti hajamaliza hata siku 60 timing mbaya nategemea nini kwenye chama kuelekea uchaguzi watu wanachungulia fursa za baadaye siasa ni bidhaa. Mbowe naye hatoi ushirikiiano kuhalalisha kuwa walipo hawawezi. mchanganyiko mkali
 
Hakuna shida ila Mfumo umewaingilia fikiris kumksmata Mwenyekiti Wa chama kipindi hiki nyeti hajamaliza hata siku 60 timing mbaya nuategemea nini kwenye chama kuelekea uchaguzi watu wanachungulia fursa siasa ni bidhaa
Ni kweli CDM inayumbishwa kwa makusudi na chama tawala ila kama pia inakutana na mivutano na mivurugano ya ndani kwa ndani ambayo haipewi kipaumbele cha suluhisho. Itakuwaje miezi sita mbeleni?
 
Ukiachana na babu kigaila, wengine wote watateuliwa ukuu wa wilaya na mikoa kama ilivyo kuwa kwa sendinga wa manyara na nasari.

TUsiwaumu, hata wewe unayesoma hapa, ukipewa 200M uachane na siasa (chadema) , utakataa?
Masikini vibwengo kama Lucas Mwashambwa wapo tu kupiga mapambio watu toka Chadema wanakuja kulamba teuzi, this is not fair at all.
 
Ukiachana na babu kigaila, wengine wote watateuliwa ukuu wa wilaya na mikoa kama ilivyo kuwa kwa sendinga wa manyara na nasari.

TUsiwaumu, hata wewe unayesoma hapa, ukipewa 200M uachane na siasa (chadema) , utakataa?
Kwa maslahi ya taifa nakataa
 
Huo ni uongo!

Imagine kumpoteza Aisha Madoga, halafu baada ya kujitathmini tunakaza mafuvu na kulaumu mafisiemu pekee, mimi pia siwapendi kijani ila naona kabisa kuna shida mahali ndani ya chama ila inafumbiwa macho.
Kama hujui hii biashara kaa kimya, pesa ni mbaya. Madoga analia baada ya kusimamiwa kwenye press aongee wanacho taka.
 
Huo ni uongo!

Imagine kumpoteza Aisha Madoga, halafu baada ya kujitathmini tunakaza mafuvu na kulaumu mafisiemu pekee, mimi pia siwapendi kijani ila naona kabisa kuna shida mahali ndani ya chama ila inafumbiwa macho.
Chadema imepoteza kina kaburu, zito, nasari, masinji, etc lakini bado ipo gado
 
Wanaenda kujaza nafasi zintakazo achwa wazi kama Mama alivyowaambia wa sasa watoe taarifa mapema...

Cc: Mahondaw
Usishangae mkeka kabla ya uchaguzi, mrema ni DC wa rorya.
Huo ni uongo!

Imagine kumpoteza Aisha Madoga, halafu baada ya kujitathmini tunakaza mafuvu na kulaumu mafisiemu pekee, mimi pia siwapendi kijani ila naona kabisa kuna shida mahali ndani ya chama ila inafumbiwa macho.
 
Ngoja na mimi niitishe press niseme najitoa tu, niwachanganye unaweza kukuta ninakuwa DC😏
 
Back
Top Bottom