LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 29,814
- 47,414
hawa ni washenzi hawafai kuwa viongozi kwa sababu wana tamaa na ni rahisi kusaliti wananchi wakihongwa kama yuda iskariote watauza nchi hawa wahuni wasio na msimamo.Ukiachana na babu kigaila, wengine wote watateuliwa ukuu wa wilaya na mikoa kama ilivyo kuwa kwa sendinga wa manyara na nasari.
TUsiwaumu, hata wewe unayesoma hapa, ukipewa 200M uachane na siasa (chadema) , utakataa?