Dada Princess
Member
- Jul 27, 2019
- 49
- 70
Unakuta mtu kaja kutembelea mtoto wako au kamkuta umemshika anamchukua na kuanza kumpiga mabusu ya mdomoni.
Kwakweli ni uchafu sana mimi sipendi kabisa tabia hiyo. Wenzangu wenye watoto wadogo mnaniambiaje?
Kwakweli ni uchafu sana mimi sipendi kabisa tabia hiyo. Wenzangu wenye watoto wadogo mnaniambiaje?