Dada Princess
Member
- Jul 27, 2019
- 49
- 70
- Thread starter
- #21
Hapo lazima umchukue mwanao[emoji16][emoji16][emoji16] wengine wanawalamba Denda kabisa,
Alafu mdomoni wana harufu ya Mbege
Hapo lazima umchukue mwanao[emoji16][emoji16][emoji16] wengine wanawalamba Denda kabisa,
Alafu mdomoni wana harufu ya Mbege
Hujaona lakini wapo sana tuDoh! Sijawahi kuona hilo.
Ni kero sana aseeunaona limtu linamsogezea limdomo mtoto..
hajaswaki,ana maugoro kinywani,wengine wako hangover, wananuka masigara
hadi mtoto unaanza kuona amelewalewa.
Hapana aisee!Hawana ustaarabu watu wa aina hio. Kuna ndugu alinikasirikia kisa kumwambia anamfundisha mwanae tabia mbaya kumpa ulimi. Eti utetezi usasa nisiwe mshamba
Wewe ni miongoni mwa kina mama bora kabisaMupunguze kuishi maisha ya kizungu. Pia yakupasa uonyeshe kuchukizwa na hicho kitendo ili kesho asirudie tena usimcheleweshe.
Nimeukubali na kuupenda msimamo wako ShadeeyaJifunze kutokumuonea mtu aibu hasa kwenye mambo ambayo hayafai.
Ndugu usije ukarudia tena iyo tabia ya kumvuta mtoto kwa mdomo, mimi pia nilikuwa nina iyo tabia lkn badae nilikuja kuambiwa ni mbaya sana kiafyaMi sipendi uo ujinga,napenda kuwabusu watoto ila si mdomoni,kwenye paji la uso au shavuni tu, ila mwanangu kama mafua yamembana sana ndo nayavuta kwa mdomo puani mwake
Haha haha eti limetoka kula tunda kimasiaraJitu limetoka kula Tunda kimaskhara huko linaleta Domo lake kwa mtoto,Aisee usithubutu nikukute!
Ndugu usije ukarudia tena iyo tabia ya kumvuta mtoto kwa mdomo, mimi pia nilikuwa nina iyo tabia lkn badae nilikuja kuambiwa ni mbaya sana kiafya
Yaani jicho langu tu harudii tena.
Doh! Sijawahi kuona hilo.
Yeap inategemea ila haipaswi kumbana pumziNdugu usije ukarudia tena iyo tabia ya kumvuta mtoto kwa mdomo, mimi pia nilikuwa nina iyo tabia lkn badae nilikuja kuambiwa ni mbaya sana kiafya