Wanaobusu watoto wa wenzao midomoni wananikera sana

Wanaobusu watoto wa wenzao midomoni wananikera sana

Hip IPO sana hasahasa hawa celebrities was bongo daily kuwabusu wa Toto has a wema sepetu wakati domo lake limenyonywa na kila MTU.
 
Kiss3.jpeg
 
Wakuita vitoto vidogo mchumba mnasemaje
Yaani mtu mzima umwite mtoto wangu mchumba, una kesi ya kujibu
 
Kuna jirani yangu alikuja kukaona katoto kangu kadogo kana miezi minne , Yaani alinikera sana alivyofanya hivyo mbaya zaidi jamaa ni cigarette smoker yaani hata pumzi yake anayotoa sio nzuri.
Nilitamani hata nikampigishe mswaki mtoto ila ndio hivyo tena bado mdogo sana.

Wakuu kama mpo humu tunaomba muache kuwabusu midomoni watoto wasiokuwa wenu hata kama nyinyi sio smoker ila mtatuambukizia watoto maradhi yenu ya kinywa.
 
Unamwambia,aaaaaaaaahh no,no,no,hiyo tabia ya kubusu mtoto mdomoni siitaki please,usimfanyie mtoto wangu mambo ya ajabu,utamuona tu ataanza kujichekesha chekesha.Hawa mostly wanakuwa ni watu wasio wastaarabu ila wanajifanya wamestaarabika kwa kuiga desturi za wazungu...
 
Umefikiria mbali....haka katabia kameota mizizi katika jamii yetu
 
Sisi waafrika hatuna tamaduni za kuwabusu watoto mdomoni (hata kama ni wanetu), mambo ya kuiga tamaduni za ulaya na marekani.
Naomba nikazie hapa:
HII TABIA AKINA MAMA NDIO MMEIANZISHA!!
Nenda kwenye mitandao yote ya kijamii utakuta picha za kinamama wanawabusu watoto mdomoni! Ni nadra sana kukuta mwanaume anafanya kitendo hicho. Naomba muanze nyie wenyewe kuacha hii tabia kuanzia na watoto wenu wenyewe. Kwanza mnawafundisha watoto tabia za ajabu wangali wadogo.😡
 
Ha ha ha ! I never knew that I have had a sex change
 
Sio fresh jamani ndani ya wiki mtu umezinyonya aina 7 tofauti tofauti halafu ukambusu mtoto wa mtu!
 
Back
Top Bottom