Dada Princess
Member
- Jul 27, 2019
- 49
- 70
Unakuta mtu kaja kutembelea mtoto wako au kamkuta umemshika anamchukua na kuanza kumpiga mabusu ya mdomoni, kwa kweli ni uchafu sana mimi sipendi kabisa tabia hiyo. sijui wenzangu wenye watoto wadogo mnaniambiaje?
Jifunze kutokumuonea mtu aibu hasa kwenye mambo ambayo hayafai.Unakuta mtu kaja kutembelea mtoto wako au kamkuta umemshika anamchukua na kuanza kumpiga mabusu ya mdomoni.
Kwakweli ni uchafu sana mimi sipendi kabisa tabia hiyo. Wenzangu wenye watoto wadogo mnaniambiaje?
Me pia sipendi huo tabia. Ni uchafu na sio ustaarabu kabisa.Unakuta mtu kaja kutembelea mtoto wako au kamkuta umemshika anamchukua na kuanza kumpiga mabusu ya mdomoni.
Kwakweli ni uchafu sana mimi sipendi kabisa tabia hiyo. Wenzangu wenye watoto wadogo mnaniambiaje?
Mupunguze kuishi maisha ya kizungu. Pia yakupasa uonyeshe kuchukizwa na hicho kitendo ili kesho asirudie tena.
Hakika. Nadhani mleta uzi anapaswa ajifunze kutokana na comments za watu humu. Si kila mtu ni wa kumpa mtoto hasa kama anajali afya ya mtoto.Yani huyo unamwambia kabisa lakini pia ni vema kutompa kila mtu mtoto wengine mikono Michafu, nguo, au perfume na mafuta yenye harufu kali, wengine ndio dizaini ya hao wanao busu sasa 😂🤣
Kabisaa ukashangaa kwa nini mtoto wako haponi kumbe mijitu ishafanya yaoMimi sipendi kabisa huo mchezo,na sometimes hupelekea maambukizo ya magonjwa kwa mtoto !
Yaani jicho langu tu harudii tena.Sijawahi kuona hii na ndio naisikia mtu kumbusu mtoto mdomoni ila kama limekutokea ilibidi umwambie hapohapo bila kupepesa macho na akijitetea mwambie sio sawa na maradhi ni mengi
Duu hii kali
kwa mama au baba yake akibusu shavuni inatoshaNjoo mwanangu nchumu mmmwaaaaaa
shenzi kabisa..
kabisaa.Me pia sipendi huo tabia. Ni uchafu na sio ustaarabu kabisa.