Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
- Thread starter
-
- #201
Sasa sio wabantu!!!!Wabantu wanajulikana na machotara wanajulikanaNadhani hawataki kuitwa machotara maana wanadhani watanasibishwa na huo ubaguzi na ukandamizaji uliopelekea mapinduzi
Tufanye kama ni watu walioukana uraiya wao wa asili.Sasa sio wabantu!!!!Wabantu wanajulikana na machotara wanajulikana
Sasa ngoja wanaojiita wazalendo na wafia mapinduzi wajeZanzibar kulikuwa na mapinduzi au mauaji ya kimbari acheni uhuni Zanzibar kuna historia ya kipuuzi
Hamna kitu kuhusu Zanzibar hamna kitu huko ZanzibarSasa ngoja wanaojiita wazalendo na wafia mapinduzi waje
Ole wako watakuparua ajabu
Historia ya Zanzibar ni Utopolo tu hawana kitu waleKwenu ni mapinduzi....
Kwao ni uvamizi na mauaji ya kimbari....
Duniani kote hakuna tabaka tawala ambalo linafurahia mapinduzi baada ya kuondolewa kinguvu kwenye nafasi yao ya kimamlaka. Mapinduzi ni sera yenye kuacha maumivu makali kwa jamii nzima.
Zamani mkoloni naye aliwaza hivihivi kuhusu Afrika ili kuhalalisha ukoloni wake, na mwishowe akaipa Afrika jina baya: BARA JEUSI LISILO NA MUNGU WALA HISTORIA.....Historia ya Zanzibar ni Utopolo tu hawana kitu wale
Kidogo kidogo tuWengi wao wenye hoja hizi wanatokea wanatokea pemba
Wapemba na waunguja ni mbinu Za Nyerere kutugawa , Sisi sote ni waislamu na tumeoana na kuzaa watoto Wazanzibari. Kila mtu ana kwao labda hawa waliotumwa na Nyerere kutoka TanganyikaKidogo kidogo tu
"sisi ni wazanzibari na hao ni watanganyika, then Sisi wapemba na hao ni waunguja"
By Baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere
Mkuu kuna visiwa kama Zanzibar haviwezi kutoka mikononi mwa Tanganyika labda zile issues zenye matatizo hasa za muungano zirekebishwe na safari iendelee.Iwe kama comoro na kisiwa cha mayote?.
Baharia...Kidogo kidogo tu
"sisi ni wazanzibari na hao ni watanganyika, then Sisi wapemba na hao ni waunguja"
By Baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere
Wana ajenda ya kumrudisha Sultan wa Oman atawale Zanzibar.Kuna watu hapa afrika mashariki wanabeza sana mapinduzi ya Zanzibar yaliyoongozwa na Mh Okello na kufanya miadhara kuyaponda!!!Wana ajenda gani nyuma ya pazia?
Usiandikie mate na wino upo , Time will tell japo mnatujazia watu mpaka wa Burundi .Mkuu kuna visiwa kama Zanzibar haviwezi kutoka mikononi mwa Tanganyika labda zile issues zenye matatizo hasa za muungano zirekebishwe na safari iendelee.
Nelson...Mzee saidi huu ukweli haukubali!!!!!!Anaumia na kujisikia vibaya kaniambia kwa kuwasema mabaya yao waarabu walowezi wa zanzbar!!!Kabla ya mapinduzi matukufu 1964
Ndivyo mnavyoambiwa na Kardinali Pengo ? Hata tukimleta Shetani nyinyi mnaumia nini? hamshughuliki na Tanganyika yenu inayouliwa na CCM ?Wana ajenda ya kumrudisha Sultan wa Oman atawale Zanzibar.
Mnatuletea mpaka wamasai wanawacha mifugo yao kwa ufala wenu Waarabu mnawaingiza wenyewe kiulaini wanawachukua wanyama wenuWana ajenda ya kumrudisha Sultan wa Oman atawale Zanzibar.
Waburundi wenyewe qanasema wana vinasaba na unguja sababu kuna ndg zao wkt wa ukoloni walibebwa kuletwa hapo, so hiki kisiwa kina watu wengi kutoka East Africa countries.Usiandikie mate na wino upo , Time will tell japo mnatujazia watu mpaka wa Burundi .
Lete ushahidi wa maneno yako ? Mkristo gani mwenye nasaba na uislamu ?Waburundi wenyewe qanasema wana vinasaba na unguja sababu kuna ndg zao wkt wa ukoloni walibebwa kuletwa hapo, so hiki kisiwa kina watu wengi kutoka East Africa countries.
Issue ya kuvunjika muungano naona haipo mkuu au siyo swala la leo wala kesho, sababu kina mambo mengi yapo hidden na hayaelezwi nje na malikia ameshikilia hiyo kitu.
Tatizo huyo mzee Okello ametengwa sana, hatajwi kwenye maskani yoyote hata ile maskani maarufu ya CUF pale stone town hawezi tajwa na ukimtaja unaeza fukuzwa kama mhaini wewe!Okelo nimemtaja kama kamanda wa ASP chini ya mzee wetu amri jeshi mkuu wa vikosi vya mapinduzi zanzbar Mzee Karume