Wanaochukia mapinduzi matukufu ya Zanzibar 1964 wana ajenda gani nyuma ya pazia?

Wanaochukia mapinduzi matukufu ya Zanzibar 1964 wana ajenda gani nyuma ya pazia?

Kwenu ni mapinduzi....
Kwao ni uvamizi na mauaji ya kimbari....

Duniani kote hakuna tabaka tawala ambalo linafurahia mapinduzi baada ya kuondolewa kinguvu kwenye nafasi yao ya kimamlaka. Mapinduzi ni sera yenye kuacha maumivu makali kwa jamii nzima.
 
Historia ya Zanzibar ni Utopolo tu hawana kitu wale
 
Kidogo kidogo tu

"sisi ni wazanzibari na hao ni watanganyika, then Sisi wapemba na hao ni waunguja"

By Baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere
Wapemba na waunguja ni mbinu Za Nyerere kutugawa , Sisi sote ni waislamu na tumeoana na kuzaa watoto Wazanzibari. Kila mtu ana kwao labda hawa waliotumwa na Nyerere kutoka Tanganyika
 
Kidogo kidogo tu

"sisi ni wazanzibari na hao ni watanganyika, then Sisi wapemba na hao ni waunguja"

By Baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere
Baharia...
Mdomo haumkatai bwana wake.

Wapemba na Waunguja wamekuwapo toka dunia ilipoumbwa na hayo anayosema Nyerere hayakutokea.
 
Mkuu kuna visiwa kama Zanzibar haviwezi kutoka mikononi mwa Tanganyika labda zile issues zenye matatizo hasa za muungano zirekebishwe na safari iendelee.
Usiandikie mate na wino upo , Time will tell japo mnatujazia watu mpaka wa Burundi .
 
Mzee saidi huu ukweli haukubali!!!!!!Anaumia na kujisikia vibaya kaniambia kwa kuwasema mabaya yao waarabu walowezi wa zanzbar!!!Kabla ya mapinduzi matukufu 1964
Nelson...
Usiweke "exclamation narks" unaondoa umakini katika hayo uliyoandika.

Unaweza kuonyesha kushangaa kwako kwa maneno.
 
Wana ajenda ya kumrudisha Sultan wa Oman atawale Zanzibar.
Ndivyo mnavyoambiwa na Kardinali Pengo ? Hata tukimleta Shetani nyinyi mnaumia nini? hamshughuliki na Tanganyika yenu inayouliwa na CCM ?
 
Wana ajenda ya kumrudisha Sultan wa Oman atawale Zanzibar.
Mnatuletea mpaka wamasai wanawacha mifugo yao kwa ufala wenu Waarabu mnawaingiza wenyewe kiulaini wanawachukua wanyama wenu
 
Usiandikie mate na wino upo , Time will tell japo mnatujazia watu mpaka wa Burundi .
Waburundi wenyewe qanasema wana vinasaba na unguja sababu kuna ndg zao wkt wa ukoloni walibebwa kuletwa hapo, so hiki kisiwa kina watu wengi kutoka East Africa countries.

Issue ya kuvunjika muungano naona haipo mkuu au siyo swala la leo wala kesho, sababu kina mambo mengi yapo hidden na hayaelezwi nje na malikia ameshikilia hiyo kitu.
 
Lete ushahidi wa maneno yako ? Mkristo gani mwenye nasaba na uislamu ?
 
Okelo nimemtaja kama kamanda wa ASP chini ya mzee wetu amri jeshi mkuu wa vikosi vya mapinduzi zanzbar Mzee Karume
Tatizo huyo mzee Okello ametengwa sana, hatajwi kwenye maskani yoyote hata ile maskani maarufu ya CUF pale stone town hawezi tajwa na ukimtaja unaeza fukuzwa kama mhaini wewe!
 
Back
Top Bottom