Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
- Thread starter
-
- #41
Kua nchi huru ya waarabu na machotara tu na sio wabantu alisia!!!Maana mihadhara yao ya kuponda mapinduzi wanaaita watu wa bara"Machogo"Nelson Jacob lushasi vipi kwa upande wako unadhani wana mpango gani na Zanzibar?
Iia hawa wanaopinga mapinduzi naddhani hawajui historia ya visiwa HiviNelson Jacob lushasi vipi kwa upande wako unadhani wana mpango gani na Zanzibar?
Bila shaka mkuu hawajuiIia hawa wanaopinga mapinduzi naddhani hawajui historia ya visiwa Hivi
Ila kuna mzee wangu mmoja mohamedi said!!!Yeye kila kiitu anasema anajua ila anavutia upande wa hizbu tuBila shaka mkuu hawajui
Heshima yake ktk historia ya mapambano ya uhuru si ya kutilia shaka ila ningependa kumsikia ana lipi la kutueleza kwenye hiliIla kuna mzee wangu mmoja mohamedi said!!!Yeye kila kiitu anasema anajua ila anavutia upande wa hizbu tu
Mimi na yeye mzee wangu tuna mtazamo tofauti maana mimi na mazalia ya ASP na yeye ni mnazi wa Hizbu party!!!!Lakini nje ya hapo namuheshimu sana mzee wangu yuleHeshima yake ktk historia ya mapambano ya uhuru si ya kutilia shaka ila ningependa kumsikia ana lipi la kutueleza kwenye hili
please mtag mkuu
I willHeshima yake ktk historia ya mapambano ya uhuru si ya kutilia shaka ila ningependa kumsikia ana lipi la kutueleza kwenye hili
please mtag mkuu
Hongera mkuu umeweza kumheshimu mbali na tofauti zenu za kimtazamo, ni kitu kizuri sana.Mimi na yeye mzee wangu tuna mtazamo tofauti maana mimi na mazalia ya ASP na yeye ni mnazi wa Hizbu party!!!!Lakini nje ya hapo namuheshimu sana mzee wangu yule
Mzee wangu yule ni kama kaka kwangu!!!!Tofauti ni kawaida kwa binadamuHongera mkuu umeweza kumheshimu mbali na tofauti zenu za kimtazamo, ni kitu kizuri sana.
Ni mmoja ya wazee wenye ufahamu mkubwa sana na sisi lazima tuwapatie heshima yaoHongera mkuu umeweza kumheshimu mbali na tofauti zenu za kimtazamo, ni kitu kizuri sana.
HakikaNi mmoja ya wazee wenye ufahamu mkubwa sana na sisi lazima tuwapatie heshima yao
Sema watu wana mu underate sana humu JFHakika
Wafanyao hivyo ni wenye uelewa finyu mkuuSema watu wana mu underate sana humu JF
Nelson...Ila kuna mzee wangu mmoja mohamedi said!!!Yeye kila kiitu anasema anajua ila anavutia upande wa hizbu tu
Shikamoo kakangu mzee Said!!!Upo sahii na sisi vijana tunajifunza mengi kutoka kwako!!Japo una madhaifu kama binadamu wengine hasa la udini na arab naization na baadhi ya source of ur knowledge!!!!!!Nje ya hapo wewe ni muandishi bora kabisa wa kizazi hiki!!!!Nakupa kongore kakanguNelson...
Hakika nina mengi nayajua katika historia ya Tanzania.
Kwani hujasoma kutoka kwangu historia ambayo hakupata kuisoma popote pale?
Historia ya kambi ya Kipumbwi ulipata kuisoma kabla mimi sijaiweka hapa?
Ulipata kusoma popote pale majina haya yaliyohusika na mapinduzi: Mohamed Omari Mkwawa, Ali Mwinyi Tambwe, Victor Mkello, Jumanne Abdallah na hawa wote walikuwa Tanga.
Naamini umesoma kutoka kwangu mchango wao katika mapinduzi ya Zanzibar.
Kama wewe unaona sina nijuacho hakuna shida.
Hili kuwa navutia upande wa ZNP labda ni kwa kuwa wewe unavutia upande wa ASP.
Lakini mimi huandika kile nilichokijua kupitia utafiti na haya niandikayo nisingeyajua bila utafiti.
Count...Heshima yake ktk historia ya mapambano ya uhuru si ya kutilia shaka ila ningependa kumsikia ana lipi la kutueleza kwenye hili
please mtag mkuu
Kaka wengine ni wabantu kabisa kama sisi!!
Kaa nao utasikia kitu tofauti na wala hawana habari na huyo JamshidMkuu historia haijapindishwa mambo yako straight
WaOman walivamia visiwa vile miaka mingi tu, waliabaka na kuwanyanyasa wazee wetu, waliwadhalilisha na kuwafanya watumwa, waliwaua na kuwatumikisha kama wanyama, waliwapokonya ardhi yenye rutuba, ikafika hatua waafrika tukachoka, wakaja n Compromise ya uhuru wa mchongo mwaka ‘63
Karume, Okello na wazalendo wengine wakaingia kazini kufurusha masalia ya utawala batili na ndio hapo tukapata Zanzibar inayotawaliwa na walio wengi
Mambo yako straight, hao wanakumbuka na kuhusudu nyakati za Jamshid na wenzie ni wale walionufaika na mfumo ule kandamizi.
Naby,Kaa nao utasikia kitu tofauti na wala hawana habari na huyo Jamshid
Maana kama wanahalalisha hilo jambo basi hata wangoni waliotokea huko sauzi ilibidi wafukuzwe warudi walipotoka,,,,,kuna matendo yaliyofanyika wakati wa mapinduzi ambayo yaligusa raia tu wa kawaida ambao hata habari na sultan walikua hawana ila tu rangi zao za ngozi zikawahukumu,,,,,ingekua kipindi hiki watu wangesema ni genocide kama Rwanda wahutu na wa tutsiNaby,
Capone haijui historia ya kuja kwa Waomani Zanzibar.
Hawakuivamia Zanzibar.
Wala hapakuwa na hayo asemayo.
Si vyema kujadili kitu usichojua.