Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Naby...Maana kama wanahalalisha hilo jambo basi hata wangoni waliotokea huko sauzi ilibidi wafukuzwe warudi walipotoka,,,,,kuna matendo yaliyofanyika wakati wa mapinduzi ambayo yaligusa raia tu wa kawaida ambao hata habari na sultan walikua hawana ila tu rangi zao za ngozi zikawahukumu,,,,,ingekua kipindi hiki watu wangesema ni genocide kama Rwanda wahutu na wa tutsi
Vitendo vile na kuendeleza mauaji kila uchaguzi ndiyo imeangusha CCM Zanzibar na uchaguzi wa kwanza 1995 ikashindwa uchaguzi.
Hawajaweza hadi leo kujitoa katika shimo hili.
Kilele chake ni pale CCM Zanzibar ilipobidi ifute uchaguzi 2015 ili kujinusuru.