Wanaochukia mapinduzi matukufu ya Zanzibar 1964 wana ajenda gani nyuma ya pazia?

Wanaochukia mapinduzi matukufu ya Zanzibar 1964 wana ajenda gani nyuma ya pazia?

Asili ya waafrika waliopo zanzbar wametokea wapi?????Omani au sudani?????Nijibu kwanza????
Sehemu mbalimbali Duniani, kasome Historia ya kilwa na biashara zake utapata Historia ya Zanzibar.

Asili ya kuwepo Zanzibar na Wa Oman ni baada ya Wareno kuvamia na kuua watu, Oman walivyowapiga Wareno Asia, watawala wa huku waka request msaada kutoka kwa Wa Oman, Wa Oman wakaja kuwapiga Wareno na kuwatoa na kulinda eneo hili la pwani na Kuanzisha utawala wao. Ndio maana mpaka leo unapata Maeneo na Vita kama vya Fort Jesus.
 
Kaka unawatetea walowezi wa kiarabu najua ila ukweli upo uchi kwa karne nyingi!!!Kasome kitabu cha binti wa seyyid said!!
Binti yupi kitabu kipi weka screenshot ama Academic source yoyote hapa mambo ya kasome inaonesha usomi wako uchwara, msomi hujui hata kuweka source.
 
Kaka am clever than you be wise!!!!Sisi ASP tupo tofauti
usitishe watu wewe, you know nothing na wala hunijui wala hunitishi.

Stop spouting stupid nonsense! unatapika utumbo kisha unashindwa kuutetea. Which cleverness do you have than me? If at all your were clever you would have come up with a clever analogy about this Okello guy, but you have just come up with lame and stupid or rather a foolish and nonsense unclever arguments.
 
Sijakuelewa kaka unaweza kunielewesha tena????Maana ASP walikuepo wengi wakati wa mapinduzi matukufu ila walioenda frontline wachache!!!
Asp walishindwa Uchaguzi, Hata baada ya kubadili Jina na kuitwa CCM bado wanaendelea kushindwa Uchaguzi, Ingekuwa CCM wanakubalika isingekuwa wanahitaji kina Jecha kujipitisha Serikalini.
 
Kaka unawatetea walowezi wa kiarabu najua ila ukweli upo uchi kwa karne nyingi!!!Kasome kitabu cha binti wa seyyid said!!
Tatizo nyinyi watoto wa Mapadri mnakuwa hamna makwenu mwisho mnabambikiziwa uafrika na Zanzibar. Na kila kitu ni Usultani
 
Asp walishindwa Uchaguzi, Hata baada ya kubadili Jina na kuitwa CCM bado wanaendelea kushindwa Uchaguzi, Ingekuwa CCM wanakubalika isingekuwa wanahitaji kina Jecha kujipitisha Serikalini.
Kaka zile picha za vibaraka na machotara wa kiarabu ndio unaita watu weusi!!!Hata yule ndugu Qaboos chotara wa kihabeshi unamuita mtu mweusi!!!!Upo serious kweli kaka???
 
Kwahiyo maslutani hawakua walafi na yale mahekalu yao bagamoyo na tanga!!!Na hulka zao za kunyanyasa ngozi nyeus??
Kipindi Abushiri anapigana Vita huku kwetu Tanga, jeshi lake lote walikuwa weusi uhusiano baina ya waarabu na weusi ni wa damu wamemwaga damu pamoja na wamelindana pamoja kwa maelfu ya miaka

, waarabu wengi Tanga ni watu wa watu, kwenye Misiba, Harusi, Shida, Raha utawakuta wakishirikiana na Local,

Ingekua waarabu wanawatesa weusi kama unavyodai wewe wasingependwa, Leo mtafute msambaa, Mdigo, Mbondei, Mzigua hana prejudice za Ajabu kwa waarabu, wanaishi pamoja maelfu ya miaka.

Ila mtu anatoka bara huko hajawahi kuishi na mwarabu hata siku moja ila anakuwa "Much know"
 
usitishe watu wewe, you know nothing na wala hunijui wala hunitishi.

Stop spouting stupid nonsense! unatapika utumbo kisha unashindwa kuutetea. Which cleverness do you have than me? If at all your were clever you would have come up with a clever analogy about this Okello guy, but you have just come up with lame and stupid or rather lame, foolish and nonsense unclever arguments.
Kaka nitakutisha vipi mimi muungwana wa ASP na TANU!!!!Nachosema be wise hiyo mitego ya maneno kuhusu Okello hukuanza wewe hata HIZBU walisema hivyo hivyo!!!!!Vijana wa ASP waga hatutegeki kwa maneno kama hayo
 
Mkuu twende sawa, hali ya kiuchumi kwa matabaka yote matatu Zanzibar enzi za sultan ilikuaje?

Kulikuwa na usawa? Ama tabaka fulani lilipendelewa huku jingine lilikandamizwa systematically?
Count...
Tanzania Wakristo wanahodhi serikali kwa 80% na 20% ni Waislam.

Unasemaje kuhusu hili.
Huu ni ukandamuzaji systematically?
 
Kipindi Abushiri anapigana Vita huku kwetu Tanga, jeshi lake lote walikuwa weusi uhusiano baina ya waarabu na weusi ni wa damu wamemwaga damu pamoja na wamelindana pamoja kwa maelfu ya miaka

, waarabu wengi Tanga ni watu wa watu, kwenye Misiba, Harusi, Shida, Raha utawakuta wakishirikiana na Local,

Ingekua waarabu wanawatesa weusi kama unavyodai wewe wasingependwa, Leo mtafute msambaa, Mdigo, Mbondei, Mzigua hana prejudice za Ajabu kwa waarabu, wanaishi pamoja maelfu ya miaka.

Ila mtu anatoka bara huko hajawahi kuishi na mwarabu hata siku moja ila anakuwa "Much know"
Lazima usifie walowezi wa kiarabu kaka sababu wewe ni mazalia ya ukoloni wa kiarabu!!!!Tofauti na sisi ASP mazalia ya ukombozi wa wabantu waache kua vitwana na wajakazi wa waarabu na wazungu
 
Kaka zile picha za vibaraka na machotara wa kiarabu ndio unaita watu weusi!!!Hata yule ndugu Qaboos chotara wa kihabeshi unamuita mtu mweusi!!!!Upo serious kweli kaka???
Hii mentality ndio inaonesha ujinga wa Mtu mweusi.

1. Mwaarabu kukiwa na damu yake hata kidogo tu atamthamini hata kama mweusi ama ana nywele za kipilipili, sometime hata hawana mahusiano ya damu wanashare tu culture wote wanaongea lugha moja na kuelewana watakaa vizuri.

2. Mbongo chuki, chuki kwa chotara, chuki kwa kabila lisilo lake, chuki kwa tajiri, chuki kwa masikini, chuki kwa kila kitu.

Hii nchi haitaendelea kamwe kwa watu kama wewe ambao kila kitu kwako kina dosari

So what kama ni Chotara? Hana damu ya mtu mweusi? Why uchukie damu yako? Vipi obama hakuwa mweusi? Si bibi yake mmoja ni mzungu?
 
Kipindi Abushiri anapigana Vita huku kwetu Tanga, jeshi lake lote walikuwa weusi uhusiano baina ya waarabu na weusi ni wa damu wamemwaga damu pamoja na wamelindana pamoja kwa maelfu ya miaka

, waarabu wengi Tanga ni watu wa watu, kwenye Misiba, Harusi, Shida, Raha utawakuta wakishirikiana na Local,

Ingekua waarabu wanawatesa weusi kama unavyodai wewe wasingependwa, Leo mtafute msambaa, Mdigo, Mbondei, Mzigua hana prejudice za Ajabu kwa waarabu, wanaishi pamoja maelfu ya miaka.

Ila mtu anatoka bara huko hajawahi kuishi na mwarabu hata siku moja ila anakuwa "Much know"
Hili swali zuri sana tungemuuliza mzee karume au mzee diria au mzee abudmaliki kigwa asjid nasif au mzee wetu Babu!!!!Wazee wetu waliomuondoa mlowezi wa kiarabu zanzbar!!!
 
CCM ni ya wanzbar wote included masalia ya hizbu(CUF)!!!Maalim seif na lipumba waliwadanganya kua mmeshinda hizo chaguzi!!!Hizbu(CUF)hawakushinda hata yeye seif anajua
Nelson...
Unaweza kuamini upendavyo.
Niliwapo Zanzibar wakati wa uchaguzi.

Kaka usidhani mimi niko hapa kwa maskhara.

Kweli najua mengi na kama wewe unataka kujua acha utani niulize mambo kwa dhati ya nafsi yako.

Nitakueleza mengi na hata hali ya mjadala hapa itakuwa nyingine.

Lakini ukitaka kuufanya huu ni mjadala wa lugha za "walowezi wa Kiarabu," mtu kutafuta ushindi huna utakachopata.
 
Back
Top Bottom