Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Lengo la Okello na kanisa ni hili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimeanza vipi na wapi hiyo mitego ilhali wewe ndiye umeianza na kuileta humu jamvini? Hakuna swali hata moja ulilonijibu nilipokuuliza kuhusu huyo Okello maana watanzania wengi wanamtambua karume!Kaka nitakutisha vipi mimi muungwana wa ASP na TANU!!!!Nachosema be wise hiyo mitego ya maneno kuhusu Okello hukuanza wewe hata HIZBU walisema hivyo hivyo!!!!!Vijana wa ASP waga hatutegeki kwa maneno kama hayo
Kuna wazee kibao walioshiriki hayo mapinduzi na wanajuta, namfahamu mmoja personal alioa kwetu kilazima baada ya mapinduzi, tena mtoto mdogo ambaye hata hajabalehe vizuri, akarudi kwa machozi na kuomba msamaha kwa alichokifanya, Juzi tu Hapa Tumemzika Znz.Hili swali zuri sana tungemuuliza mzee karume au mzee diria au mzee abudmaliki kigwa asjid nasif au mzee wetu Babu!!!!Wazee wetu waliomuondoa mlowezi wa kiarabu zanzbar!!!
Lazima usifie mwarabu kaka na useme wazee wetu walikua mapunguani kuwafukuza walowezi wa kiarabu zanzbar!!!!Mimi nakuelewa vizuri ndugu yanguHii mentality ndio inaonesha ujinga wa Mtu mweusi.
1. Mwaarabu kukiwa na damu yake hata kidogo tu atamthamini hata kama mweusi ama ana nywele za kipilipili, sometime hata hawana mahusiano ya damu wanashare tu culture wote wanaongea lugha moja na kuelewana watakaa vizuri.
2. Mbongo chuki, chuki kwa chotara, chuki kwa kabila lisilo lake, chuki kwa tajiri, chuki kwa masikini, chuki kwa kila kitu.
Hii nchi haitaendelea kamwe kwa watu kama wewe ambao kila kitu kwako kina dosari
So what kama ni Chotara? Hana damu ya mtu mweusi? Why uchukie damu yako? Vipi obama hakuwa mweusi? Si bibi yake mmoja ni mzungu?
Sasa kaka nimekuelewa!!!Kumbe wewe masalia ya waarabu walowezi!!!!Najua hampendi mapinduzi mlikua mnataka babu zetu wawe wanawafulia nazi tu na kuwalimia karafuu kwa ujira wa kunyonya!!!Kuna wazee kibao walioshiriki hayo mapinduzi na wanajuta, namfahamu mmoja personal alioa kwetu kilazima baada ya mapinduzi, tena mtoto mdogo ambaye hata hajabalehe vizuri, akarudi kwa machozi na kuomba msamaha kwa alichokifanya, Juzi tu Hapa Tumemzika Znz.
Huna hoja, watu kibao humu wamekupa Hoja hujibu unachokazania ni kubagua watu.Sasa kaka nimekuelewa!!!Kumbe wewe masalia ya waarabu walowezi!!!!Najua hampendi mapinduzi mlikua mnataka babu zetu wawe wanawafulia nazi tu na kuwalimia karafuu kwa ujira wa kunyonya!!!
Mdogo wangu acha mbwembwe naelewa unachotaka🤣🤣!!!!Ngoja niendelee uzi wangu na mzee wangu Saidi Mohamedi kuhusu mapinduzi matukufu ya zanzbar kama wasomi na wachambuzi wa siasanimeanza vipi na wapi hiyo mitego ilhali wewe ndiye umeianza na kuileta humu jamvini? Hakuna swali hata moja ulilonijibu nilipokuuliza kuhusu huyo Okello maana watanzania wengi wanamtambua karume?
at the end umenitusi kwa kujifanya kuwa una akili kuliko mimi. sasa nani mpuuzi kati yangu na wewe,...wewe unayeanzisha jambo na huwezi kulitolea ufafanuzi au mimi ninayetaka ufafanuzi?
where is your cleverness as you brag yourself to be clever?
Kuna wazee kibao walioshiriki hayo mapinduzi na wanajuta, namfahamu mmoja personal alioa kwetu kilazima baada ya mapinduzi, tena mtoto mdogo ambaye hata hajabalehe vizuri, akarudi kwa machozi na kuomba msamaha kwa alichokifanya, Juzi tu Hapa Tumemzika Znz.
Lazima usifie mwarabu kaka na useme wazee wetu walikua mapunguani kuwafukuza walowezi wa kiarabu zanzbar!!!!Mimi nakuelewa vizuri ndugu yangu
Lengo la uvamizi ni hiliMdogo wangu acha mbwembwe naelewa unachotaka🤣🤣!!!!Ngoja niendelee uzi wangu na mzee wangu Saidi Mohamedi kuhusu mapinduzi matukufu ya zanzbar kama wasomi na wachambuzi wa siasa
Upo sahii kaka sina hoja kwa sababu ya wewe kua na nasaba na waarabu lazima uwasifie na kuchukia mapinduzi!!!!Kuhusu oman na watu weusi vipi kuhusu dada zetu wanaoenda kufanya kazi za ndani na masaibu yanayowakuta???????Huna hoja, watu kibao humu wamekupa Hoja hujibu unachokazania ni kubagua watu.
Leo hii hao wa Oman maisha yao yapoje? Wamekua masikini? Si bado vile vile matajiri?
Baada ya Azimio la Arusha walipokonywa kibao mali zao hapa Tanga wengine wakakaa jela miaka, ila leo Hii ukiangalia wamerise from Zero to Hero, wana hela vile vile.
Mtu kuajiri mtu akufulie nazi ama akulimie karafuu si unyonyaji bali ni ujasiriamali,
Wapo pia watu weusi kibao wana hela na wameajiri waarabu.
Baba mwajuma ni chotara wa kiarabuHuyo mwenyewe mwarabu koko masalia.
Hilo hawezi kukujibuAlio kilazima kwasababu waarabu hawakuruhusu mabinti zao waolewe na watu weusi,huo ni ubaguzi tayari,hoja ya kusema waliishi pamoja kwa upendo tunaanza kuiondoa kuanzia hapo.
Nelson....Sijakuelewa kaka unaweza kunielewesha tena????Maana ASP walikuepo wengi wakati wa mapinduzi matukufu ila walioenda frontline wachache!!!
Sasa mzee wangu said ebu punguza munkari twende taratibu!!!Unajua maana ya neno frontline na mnyumbuliko wake katika medani za kivita!!!!Nikupe mfano mdogo,,,vita ya mda mfupi duniani mojawapo ni ile iliyopiganwa zanzbar dk 45!!!!Unajua frontline yake ilikuwa wapi??????Au mzee wangu wewe unajua frontline mpaka watu wachimbe mahandaki na waweke senyenge na mabomu ya aridhini????Nelson....
Hakika wewe huijui historia ya mapinduzi.
Kwanza hapakuwa na hiyo front line usiku wa manane hadi kufika alfajir serikali ishaanguka.
Damu iliyomwagika ni asubuhi mashambani na hapakuwa na sababu ya mauaji.
Hapa ndipo walipoingia makomredi kuzuia umwagaji damu uliokuwa unafanywq na Wamakonde kutoka Kipumbwi.
Jitahidi usome historia ya mapinduzi utajiweka katika hali nzuri ya kujadili.
Hapana wewe ni hizbu lazima uwapondee washirika wa ASP kama unavyowaita hao wamakonde kwa kutaka kuonyesha mapinduzi yalifanywa na wamakonde!!!!Kweli unategemea sisi vijana wa ASP na TANU tuchukue histtoria ya mapinduzi kutaoka kwa watu wenye nasaba na mahaba na hizbu?????Hilo haliwezekani mzee wanguNelson....
Hakika wewe huijui historia ya mapinduzi.
Kwanza hapakuwa na hiyo front line usiku wa manane hadi kufika alfajir serikali ishaanguka.
Damu iliyomwagika ni asubuhi mashambani na hapakuwa na sababu ya mauaji.
Hapa ndipo walipoingia makomredi kuzuia umwagaji damu uliokuwa unafanywq na Wamakonde kutoka Kipumbwi.
Jitahidi usome historia ya mapinduzi utajiweka katika hali nzuri ya kujadili.
Au na wewe ndio wale mnaobeza mapinduzi matukufu ya kuwaondoa wazalimu na walowezi wa kikoloni zanzbar 1964??????Kama wale ndugu zangu wanaolibeza azimio la Arusha?????Nelson....
Hakika wewe huijui historia ya mapinduzi.
Kwanza hapakuwa na hiyo front line usiku wa manane hadi kufika alfajir serikali ishaanguka.
Damu iliyomwagika ni asubuhi mashambani na hapakuwa na sababu ya mauaji.
Hapa ndipo walipoingia makomredi kuzuia umwagaji damu uliokuwa unafanywq na Wamakonde kutoka Kipumbwi.
Jitahidi usome historia ya mapinduzi utajiweka katika hali nzuri ya kujadili.
Wazalimu ndio lugha gani ? Mwambie kardinali wako akufundishe kiswahili , ASP hawana kiswahili hichoAu na wewe ndio wale mnaobeza mapinduzi matukufu ya kuwaondoa wazalimu na walowezi wa kikoloni zanzbar 1964??????Kama wale ndugu zangu wanaolibeza azimio la Arusha?????
Kaka unawatetea walowezi wa kiarabu najua ila ukweli upo uchi kwa karne nyingi!!!Kasome kitabu cha binti wa seyyid said!!
Nelson....Kaka zile picha za vibaraka na machotara wa kiarabu ndio unaita watu weusi!!!Hata yule ndugu Qaboos chotara wa kihabeshi unamuita mtu mweusi!!!!Upo serious kweli kaka???
Mimi babu mzaa mama mweusi bibi mwarabu wameoana kabla ya hayo mapinduzi, Karume mweusi mkewe mweupe wameoana kabla ya hayo mapinduzi, kila siku naongea humu nyie jamaa hamjui lolote kuhusu waarabu ni Fix za vijiweni mnaleta kama mijadala ya kitaifa.Alio kilazima kwasababu waarabu hawakuruhusu mabinti zao waolewe na watu weusi,huo ni ubaguzi tayari,hoja ya kusema waliishi pamoja kwa upendo tunaanza kuiondoa kuanzia hapo.