Wanaochukia mapinduzi matukufu ya Zanzibar 1964 wana ajenda gani nyuma ya pazia?

Wanaochukia mapinduzi matukufu ya Zanzibar 1964 wana ajenda gani nyuma ya pazia?

Heshima yake ktk historia ya mapambano ya uhuru si ya kutilia shaka ila ningependa kumsikia ana lipi la kutueleza kwenye hili
please mtag mkuu
Mimi na yeye mzee wangu tuna mtazamo tofauti maana mimi na mazalia ya ASP na yeye ni mnazi wa Hizbu party!!!!Lakini nje ya hapo namuheshimu sana mzee wangu yule
 
Ila kuna mzee wangu mmoja mohamedi said!!!Yeye kila kiitu anasema anajua ila anavutia upande wa hizbu tu
Nelson...
Hakika nina mengi nayajua katika historia ya Tanzania.

Kwani hujasoma kutoka kwangu historia ambayo hakupata kuisoma popote pale?

Historia ya kambi ya Kipumbwi ulipata kuisoma kabla mimi sijaiweka hapa?

Ulipata kusoma popote pale majina haya yaliyohusika na mapinduzi: Mohamed Omari Mkwawa, Ali Mwinyi Tambwe, Victor Mkello, Jumanne Abdallah na hawa wote walikuwa Tanga.

Naamini umesoma kutoka kwangu mchango wao katika mapinduzi ya Zanzibar.

Kama wewe unaona sina nijuacho hakuna shida.

Hili kuwa navutia upande wa ZNP labda ni kwa kuwa wewe unavutia upande wa ASP.

Lakini mimi huandika kile nilichokijua kupitia utafiti na haya niandikayo nisingeyajua bila utafiti.
 
Shikamoo kakangu mzee Said!!!Upo sahii na sisi vijana tunajifunza mengi kutoka kwako!!Japo una madhaifu kama binadamu wengine hasa la udini na arab naization na baadhi ya source of ur knowledge!!!!!!Nje ya hapo wewe ni muandishi bora kabisa wa kizazi hiki!!!!Nakupa kongore kakangu
 
Heshima yake ktk historia ya mapambano ya uhuru si ya kutilia shaka ila ningependa kumsikia ana lipi la kutueleza kwenye hili
please mtag mkuu
Count...
Mihemko imemchukua zaidi kiasi amepoteza uwezo wa fikra.

Utukufu ni wa Mwenyezi Mungu.
Ubora ulio juu zaidi ya ubora.

Mauaji na yote yaliyotokea katika mapinduzi si mambo matukufu na hayatakuja kuwa matukufu.

Zanzibar haikupata kuwa na jela za mateso na jela za mauaji katika historia yake.

Sultan hana historia ya kumwaga damu wala kutesa raia.

Hakuna mtu anaeweza kusema ana ndugu alifuatwa nyumbani kwake usiku wa kuchukuliwq na hakuonekana tena.

Haya yote yalikuja baada ya mapinduzi.

Kwa ajili hii historia ya mapinduzi inatakiwa kuangaliwa kwa utulivu wa akili si kwa mihemko na kauli zilizokosa utu.

Huyu ndugu yetu ajiulize imekuwaje leo Zanzibar CCM inashindwa kila uchaguzi katika chaguzi sita walizoshiriki?

Nini maana yake?

Wazanzibari hawana haja ya mapinduzi?

Ndugu yetu ajiulize swali hili.
 
Mkuu historia haijapindishwa mambo yako straight

WaOman walivamia visiwa vile miaka mingi tu, waliabaka na kuwanyanyasa wazee wetu, waliwadhalilisha na kuwafanya watumwa, waliwaua na kuwatumikisha kama wanyama, waliwapokonya ardhi yenye rutuba, ikafika hatua waafrika tukachoka, wakaja n Compromise ya uhuru wa mchongo mwaka ‘63

Karume, Okello na wazalendo wengine wakaingia kazini kufurusha masalia ya utawala batili na ndio hapo tukapata Zanzibar inayotawaliwa na walio wengi

Mambo yako straight, hao wanakumbuka na kuhusudu nyakati za Jamshid na wenzie ni wale walionufaika na mfumo ule kandamizi.
Kaa nao utasikia kitu tofauti na wala hawana habari na huyo Jamshid
 
Naby,
Capone haijui historia ya kuja kwa Waomani Zanzibar.

Hawakuivamia Zanzibar.
Wala hapakuwa na hayo asemayo.

Si vyema kujadili kitu usichojua.
Maana kama wanahalalisha hilo jambo basi hata wangoni waliotokea huko sauzi ilibidi wafukuzwe warudi walipotoka,,,,,kuna matendo yaliyofanyika wakati wa mapinduzi ambayo yaligusa raia tu wa kawaida ambao hata habari na sultan walikua hawana ila tu rangi zao za ngozi zikawahukumu,,,,,ingekua kipindi hiki watu wangesema ni genocide kama Rwanda wahutu na wa tutsi
 
Back
Top Bottom