Wanaofanya kazi ya kupoteza watu ndani ya "Kitengo" wanapataje kazi hii?

Katika duru za Intelligence, wale wanaitwa "Sanctions Server".
Wanapewa bahasha, na picha ndani, na fedha. Wanaambiwa watafute hawa watu uwaue. Hiyo inaitwa "sanction" moja, ambayo wakati mwingine inajumuisha watu zaidi ya mmoja wanaotakiwa kuuawa.
Hawa watu wakati mwingine wanaitwa Oval Office, Rais anamwambia huyu mtu," Nina matatizo kidogo na Congress, there is too much red tape. You DO understand my problem, don't you? Hawa watu lazima wauawe."
Wakati wa ile scandal ya BCCI, is that correct?, ile Bank scandal, watu wengi waliuawa kwa amri ya White House
Wakati mwingine Sanctions Server anakataa kutii amri.
Yupo mmoja alikuwa maisha yake as a Sanctions Server. Anasema mpumbavu mmoja yule alimwamuru kumuua binti kumbe kosa lake yule binti alikuwa ni illegitimate child, sasa yeye, kama presidential candidate alikuwa hataki political scandal,anataka yule mtoto awe eliminated.
Yule Sanctions Server hakumuua yule binti. Alimpa different identity, akampeleka mafichoni.
Anasema aliwasiliana na yule jamaa, au tumwite "mheshimiwa"( hamtaji jina) ambaye nadhani alishinda urais, akamwambia ,"We huna akili kabisa"
 

[emoji1426][emoji1426][emoji1426][emoji1426]
 

Mazee! Nimesoma kwa umakini kumbe unatusimulia movie?! hahahahah
 
Duniani kote baadhi ya binadamu ni wakatili kwa asili/psychopaths, wanahitaji fursa na mazingira sahihi tu kuweza kutekeleza ukatili huo.

Kweli kabisa, watu makatili wako duniani kote. Kinachotakiwa ni mazingira wezeshi tu. Wakati wa Magu mazingira yalikuwa rafiki, ndio maana ukatili ulikuwa wazi wazi.
 
Duuh
 
Ndiyo mfumo wa mambo ya kidola
Ulivyo....serikali zote duniani zina umafia...
Ndomana mpaka leo umeona Snowden kala kona yuko russia huko

Ova
Ila mwisho wa siku watamdaka tu
Kama yule aliyetega bomb 1988 kakamatwa mwezi huu na haijulikani kafikaje Marekani

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Ukifika Central DSM kuna Kikundi cha Mapolisi wao na Marungu ni kawaida, wanapiga hao na hawana huruma...
Utawasikia wanasema ......Utasema tu

Tazara
Central
Sitakishari

Hivyo vituo viogope endapo utapelekwa na kesi ya wizi au mauaji

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kuna wafungwa na mahabusu wale wenye kesi ngumu hasa za unyang'anyi, mauaji nk .. Na wengine ni wale mabanditu wa mitaani

Yoyote kati ya huarifiwa kwamba leo kuna kazi maalum utajulishwa muda JIANDAE
Acha uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…