Wanaofanya mazoezi ya mbio (jogging) hayana faida kiafya, ni matokeo ya matangazo ya biashara ya Nike

Una akili za hovyo Sana za kushikiwa kwahio mzungu kusema NIKE ndio walianza kampeni ya Jogging ili wauze viatu kwahio Jogging inakuwa sio mazoezi tena na hayana faida kwenye mwili just because yalikuwa influenced na NIKE Hilo wauze viatu what kind of thinking is this??

Hii inamaana ikitokea mfano Bank Kama NMB ikaanzosha kampeni ya kuweka akiba ya kukufaa uzeeeni au baadae na kampeni ikashika moto watu wakawa wanaweka akiba So kwako hio akiba inakua haina faida Just because NMB walianzisha kampeni tu wapate faida kibaishara

Kuna mitano zaidi ya 100 naweza kuweka hapa Cha muhimu chakata ubongo wako kabla ya kuuitimisha jambo pia Mzungu anakufanya zwazwa Kama hivyo na wewe unakubali

JOGGING
Ni aina ya mazoezi yaliyo na faida kibao
1/Kuchoma mafuta
2/Kuimarisha misuri
3/Kuimarisha mfumo wa hewa
4/Kuimarisha mzunguuko wa damu
5/Body Speed and flexibility
6/Muscles Endurance
7/NK (I can list to 100 here)
 
Kuna mwanangu yuko BOA ameanza huo mchezo sasa ana mwaka wa 3 ila sura yake ukiifananisha na umri wake kimsingi mwana hana tofauti na mstaafu. Kipindi tunamaliza chuo alikuwa kijana mtanashati sana na kitambi cha kufutia simu kilikuwepo.

I do think he is overdoing it, maana unakimbia kilometre 15 kwa siku thats too much. Mi nafanya lifting kwa kiasi chake na kutembea tembea ndio sana. Thats enough for me as long as natoka jasho.
Hao sio wanaokimbia alafu wanashushia maji?. Lazima ukomae sura
 
Hata kuna doctor mmoja kule USA alisema breakfast ni scam iliwekwa na wauza soseji na madaktari lakini anasema kiafya hakuna madhara yoyote ku skip breakfast wazungu wanajua waafrika mazuzu wanaiga kila kitu.
Wazungu wanafanya mazuzu Sana, Goal ya kwanza ya binadamu kula chakula ni kukabilina na njaa na si kwaajiri ya afya, goal ya afya inajileta yenyewe automatically kwasababu umekula chakula.

Sisi hula chakula Kama Breakfast kwasababu ya njaa ukiacha mpaka mchana njaa itakuuma na hakuna anayeamua kula Breakfast fast kwasababu ya afya
 
Siku hizi limeibuka vuguvugu la watu kukimbiakimbia mbio mabarabarani.
Unaweza kukuta mmpja mmoja au kikundi.

Miaka ya zamani hii kitu ilikuwa haipo maana maisha ya mtanzania wa kawaida ni jogging na nyongeza.

Leo katika pitapita zangu online nimekutana na mzungu anaponda hiyo kitu. Anasema ni Nike ambao walipromote hizo jogging ili wauze viatu huko US. Hii ilikuwa mwaka 1965.

Haina maana kukimbia klm hadi 10 eti kiafya wakati ungetembea kwa miguu klm hata moja na unakuwa fiti kabisa.

Wengi wanasura za kizee. Wale chronic joggers, Pia hapo baadae watakuwa wanaugua magonjwa ya misuri na kutetemea.

Haijengi afya, inaua afya.

Ni hayo tu.
usiamini kila kitu kisa kimeletwa na mzungu. hayo madhara umejiuliza kuhusu wanariadha ambao wanakimbia ,wakati wa mazoezi na maradhon km 42
je na sisi wafugaji tunao kimbizana na mifugo daily inakuwaje
 
Kama shughuli zako tayari ni za kukimbizana barabarani na kugombania daladala kama Mimi,basi waweza usifanye jogging

Kama ndio wale wazee wa kupigwa viyoyozi na kuzunguka na viti ofisini , my friend nenda kafanye mazoezi.
Mazoezi yanatakiwa kufanywa na kila mtu haijalishi yupo wapi ni vile Elimu ya mazoezi imetupita kushoto watu wengi hawana ratiba ya kufanya mazoezi mwezi mzima mpaka mwaka unaisha...
 
Ingekua busara sana kama ungekuja na tafiti, ila shida ni umekuja na hekaya

Maisha yamebadilika sio kila mtu anautafuta ugali wa kila siku kwa tabu, ukiachana na kazi za ofisi sasa hivi kuna hadi kazi hizi wanafanyika nyumbani

Zoezi ni muhimu
 
Siku hizi limeibuka vuguvugu la watu kukimbiakimbia mbio mabarabarani.
Unaweza kukuta mmpja mmoja au kikundi.

Miaka ya zamani hii kitu ilikuwa haipo maana maisha ya mtanzania wa kawaida ni jogging na nyongeza.

Leo katika pitapita zangu online nimekutana na mzungu anaponda hiyo kitu. Anasema ni Nike ambao walipromote hizo jogging ili wauze viatu huko US. Hii ilikuwa mwaka 1965.

Haina maana kukimbia klm hadi 10 eti kiafya wakati ungetembea kwa miguu klm hata moja na unakuwa fiti kabisa.

Wengi wanasura za kizee. Wale chronic joggers, Pia hapo baadae watakuwa wanaugua magonjwa ya misuri na kutetemea.

Haijengi afya, inaua afya.

Ni hayo tu.
Wewe unasumbuliwa na ugonjwa wa watu walio wengi hasa viongozi wetu wa nyanja zote wa kuamini chochote anachosema mzungu ni kweli na sawa. Ukiweza kuthibiti unachoamini utafika mbali sana. Hamna mtu anafanya mazoezi ya jogging sababu ya mzungu. Sisi tunafanya sababu kazi zetu zimekuwa za kukaa eneo Moja na hivyo kuweza kuathiri afya zetu kama tukibweteka
 
Sasa mtu wa hivi unadhani ataisifu jogging?Anatamani afanye jogging lakini hawezi hivyo anajaribu kukatisha wengine tamaa
fat.jpg
 
Siku hizi limeibuka vuguvugu la watu kukimbiakimbia mbio mabarabarani.
Unaweza kukuta mmpja mmoja au kikundi.

Miaka ya zamani hii kitu ilikuwa haipo maana maisha ya mtanzania wa kawaida ni jogging na nyongeza.

Leo katika pitapita zangu online nimekutana na mzungu anaponda hiyo kitu. Anasema ni Nike ambao walipromote hizo jogging ili wauze viatu huko US. Hii ilikuwa mwaka 1965.

Haina maana kukimbia klm hadi 10 eti kiafya wakati ungetembea kwa miguu klm hata moja na unakuwa fiti kabisa.

Wengi wanasura za kizee. Wale chronic joggers, Pia hapo baadae watakuwa wanaugua magonjwa ya misuri na kutetemea.

Haijengi afya, inaua afya.

Ni hayo tu.
Sio kila anachoongea mzungu kina maana we umekutana na mvivu mwenzio mkaona bora muanze kuponda wenzenu wanao punguza presha na sukari mwilini
 
Kuna mwanangu yuko BOA ameanza huo mchezo sasa ana mwaka wa 3 ila sura yake ukiifananisha na umri wake kimsingi mwana hana tofauti na mstaafu. Kipindi tunamaliza chuo alikuwa kijana mtanashati sana na kitambi cha kufutia simu kilikuwepo.

I do think he is overdoing it, maana unakimbia kilometre 15 kwa siku thats too much. Mi nafanya lifting kwa kiasi chake na kutembea tembea ndio sana. Thats enough for me as long as natoka jasho.
Umeona eenhh?!!,Kila kitu kikizidi kipimo hugeuka kuwa tatizo.Wakati nipo shule kwenye Kozi ya Human Nutrition,tulijifunza hbr hizi za mazoezi,lkn pia nikaja kujua kumbe hata kunywa maji kupita kiasi ni hatari kiafya,maana unaingia kwenye hali iitwayo WATER INTOXIFICATION.Kumbe kila kitu kiende kwa kiasi.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Siku hizi limeibuka vuguvugu la watu kukimbiakimbia mbio mabarabarani.
Unaweza kukuta mmpja mmoja au kikundi.

Miaka ya zamani hii kitu ilikuwa haipo maana maisha ya mtanzania wa kawaida ni jogging na nyongeza.

Leo katika pitapita zangu online nimekutana na mzungu anaponda hiyo kitu. Anasema ni Nike ambao walipromote hizo jogging ili wauze viatu huko US. Hii ilikuwa mwaka 1965.

Haina maana kukimbia klm hadi 10 eti kiafya wakati ungetembea kwa miguu klm hata moja na unakuwa fiti kabisa.

Wengi wanasura za kizee. Wale chronic joggers, Pia hapo baadae watakuwa wanaugua magonjwa ya misuri na kutetemea.

Haijengi afya, inaua afya.

Ni hayo tu.
Daaah... Post ya ajabu zaidi kusoma jamii forums mwaka 2023 ni hii yako,,
 
Una akili za hovyo Sana za kushikiwa kwahio mzungu kusema NIKE ndio walianza kampeni ya Jogging ili wauze viatu kwahio Jogging inakuwa sio mazoezi tena na hayana faida kwenye mwili just because yalikuwa influenced na NIKE Hilo wauze viatu what kind of thinking is this??

Hii inamaana ikitokea mfano Bank Kama NMB ikaanzosha kampeni ya kuweka akiba ya kukufaa uzeeeni au baadae na kampeni ikashika moto watu wakawa wanaweka akiba So kwako hio akiba inakua haina faida Just because NMB walianzisha kampeni tu wapate faida kibaishara

Kuna mitano zaidi ya 100 naweza kuweka hapa Cha muhimu chakata ubongo wako kabla ya kuuitimisha jambo pia Mzungu anakufanya zwazwa Kama hivyo na wewe unakubali

JOGGING
Ni aina ya mazoezi yaliyo na faida kibao
1/Kuchoma mafuta
2/Kuimarisha misuri
3/Kuimarisha mfumo wa hewa
4/Kuimarisha mzunguuko wa damu
5/Body Speed and flexibility
6/Muscles Endurance
7/NK (I can list to 100 here)
Ila haiondoi kitambi...
 
Back
Top Bottom