Sea Beast
JF-Expert Member
- Aug 5, 2022
- 2,212
- 4,808
Wapi yupo sawaRead btn lines unaweza kuelewa alichomaanisha.Mimi ni mtu wa Jogging kuna point yupo sawa na kuna point hayupo sahihi.
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi yupo sawaRead btn lines unaweza kuelewa alichomaanisha.Mimi ni mtu wa Jogging kuna point yupo sawa na kuna point hayupo sahihi.
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
JOGGING ni full body exercises hai assist a specific body part ni ngumu kuondoa kitambi bali itakipunguza tu kwa asilia ndogo, kitambi ni mazoezi ya ABS Cross-CuttingIla haiondoi kitambi...
Tatizo limeanzia hapo[emoji16][emoji16][emoji16] kasema mzungu ujue!
Kila kitu kinaweza kuwa na - impacts and + impacts, sikataiRead btn lines unaweza kuelewa alichomaanisha.Mimi ni mtu wa Jogging kuna point yupo sawa na kuna point hayupo sahihi.
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
JOGGING ni full body exercises hai assist a specific body part ni ngumu kuondoa kitambi bali itakipunguza tu kwa asilia ndogo, kitambi ni mazoezi ya ABS Cross-Cutting
Watu hatujui tu, moja ya mistake vijana tunaifanya ni kupuuzia mazoezi hasa ya jogging,,JOGGING ni full body exercises hai assist a specific body part ni ngumu kuondoa kitambi bali itakipunguza tu kwa asilia ndogo, kitambi ni mazoezi ya ABS Cross-Cutting
Huyo mzungu kakudanganya!Siku hizi limeibuka vuguvugu la watu kukimbiakimbia mbio mabarabarani.
Unaweza kukuta mmpja mmoja au kikundi.
Miaka ya zamani hii kitu ilikuwa haipo maana maisha ya mtanzania wa kawaida ni jogging na nyongeza.
Leo katika pitapita zangu online nimekutana na mzungu anaponda hiyo kitu. Anasema ni Nike ambao walipromote hizo jogging ili wauze viatu huko US. Hii ilikuwa mwaka 1965.
Haina maana kukimbia klm hadi 10 eti kiafya wakati ungetembea kwa miguu klm hata moja na unakuwa fiti kabisa.
Wengi wanasura za kizee. Wale chronic joggers, Pia hapo baadae watakuwa wanaugua magonjwa ya misuri na kutetemea.
Haijengi afya, inaua afya.
Ni hayo tu.
Mazoezi yanatakiwa kufanywa na kila mtu haijalishi yupo wapi ni vile Elimu ya mazoezi imetupita kushoto watu wengi hawana ratiba ya kufanya mazoezi mwezi mzima mpaka mwaka unaisha...
Ukitaka jambo lako lipokelewe Tanzania sema limeanzishwa na MZUNGU au MKENYAKwahiyo mzungu ndio amekwambia kwamba hayana faida?
ndio mana Magerezani wafungwa/mahabusu MLO wao kwa siku ni mmoja tu.Hiyo ni kweli mkuu. Hata uki- skip lunch, dinner moja kwa siku si vibaya na ni nzuri kiafya.
Naunga mkono hojaWatu mbona mnatokwa povu bila kuona content Ya mwandishi!? Kwanza amesema jogging walipromote Nike ili wauze vifaa vya michezo. Tuanzie hapo kwanza kuna anayebisha kuhusu hilo!? Jambo pili mwandishi amesema aina yetu Ya maisha ni jogging tosha.. Kuna haja gani Ya kukimbia km 6 wakati hata ungetembea km 1 inatosha kiafya!? Wanaokimbia wenyewe wanajua Kwa nini wanakimbia!? Hivi mnawaona wanavyojikomaza wanaofanya jogging bila Kujua Kwa nini wanafanya! Mtu anaenda ku-jogging leaders club lkn anatokea jangwani Kwa mguu au Kwa baiskeli.. Sasa huyo ana haja gani Ya kukimbia si anajiua bure!? Jamii forum Ya sasa sijui hata imekumbwa na nini.. Naona km ujinga umetamalaki. Hakuna mijadala Ya kujadili hoja
Sawa mkuu, Lakini pole kwa ugonjwa.Sio kweli. Mimi ni mwanamazoezi muda mrefu. Haipiti siku lazima nipige sikwata,sifanyi joging japo ni sawa na joging. Ksbb ya mazoezi makali ikanisababishia bawasili,ikabidi nipumzike mazoezi ili nitafute tiba kwanza. Huu muda ambao nimepumzika ndio nimegundua mazoezi ni muhimu sana. Ndani ya muda mfupi nimeongezeka mwili haraka,hapo na uzito umeongezeka. Na kuna vitu nilikuwa nanyanyau kama ubua,lakini nikaanza kuviona vizito.
Japo sijapata tiba vizuri ya hiyo bawasili,lakini imenibidi nirudi kwenye mazoezi kwa kuibia ibia
AsanteSawa mkuu, Lakini pole kwa ugonjwa.
Umenena vyemaWatu mbona mnatokwa povu bila kuona content Ya mwandishi!? Kwanza amesema jogging walipromote Nike ili wauze vifaa vya michezo. Tuanzie hapo kwanza kuna anayebisha kuhusu hilo!? Jambo pili mwandishi amesema aina yetu Ya maisha ni jogging tosha.. Kuna haja gani Ya kukimbia km 6 wakati hata ungetembea km 1 inatosha kiafya!? Wanaokimbia wenyewe wanajua Kwa nini wanakimbia!? Hivi mnawaona wanavyojikomaza wanaofanya jogging bila Kujua Kwa nini wanafanya! Mtu anaenda ku-jogging leaders club lkn anatokea jangwani Kwa mguu au Kwa baiskeli.. Sasa huyo ana haja gani Ya kukimbia si anajiua bure!? Jamii forum Ya sasa sijui hata imekumbwa na nini.. Naona km ujinga umetamalaki. Hakuna mijadala Ya kujadili hoja
Nike ndio walianzisha hii mambo ya kutangaza biashara zao kupitia Joggin ni muda mrefu watu wa Adidas walikua wanapinga hizo mambo kwa kwa kuwa zimeanzishwa na wahasimu wao kwenye biashara mazoezi haya madhara kwa binadamu ni vile jamii ya sasa hivi wamekua wavivu kufanya mazoezi ndio maana unaona wanakuja na hoja zao ili mradi kuwapumbaza na wanajua wapo watakaokubaliana nao...toka lini mazoezi yakawa na madhara kwa binadamu sisi wengine toka tunakua mpaka leo hii ni mwendo wa Mazoezi tu leo hii nije nimsikilize mtu aseme mazoezi sio Afya daah sio kila kitu unachokiona unatakiwa kukiokota...Watu mbona mnatokwa povu bila kuona content Ya mwandishi!? Kwanza amesema jogging walipromote Nike ili wauze vifaa vya michezo. Tuanzie hapo kwanza kuna anayebisha kuhusu hilo!? Jambo pili mwandishi amesema aina yetu Ya maisha ni jogging tosha.. Kuna haja gani Ya kukimbia km 6 wakati hata ungetembea km 1 inatosha kiafya!? Wanaokimbia wenyewe wanajua Kwa nini wanakimbia!? Hivi mnawaona wanavyojikomaza wanaofanya jogging bila Kujua Kwa nini wanafanya! Mtu anaenda ku-jogging leaders club lkn anatokea jangwani Kwa mguu au Kwa baiskeli.. Sasa huyo ana haja gani Ya kukimbia si anajiua bure!? Jamii forum Ya sasa sijui hata imekumbwa na nini.. Naona km ujinga umetamalaki. Hakuna mijadala Ya kujadili hoja