Wanaofanya mazoezi ya mbio (jogging) hayana faida kiafya, ni matokeo ya matangazo ya biashara ya Nike

Wanaofanya mazoezi ya mbio (jogging) hayana faida kiafya, ni matokeo ya matangazo ya biashara ya Nike

Tatizo siyo kula mlo mmoja, tatizo ni unakula nini katika huo mlo wako mmoja? Unatumia Sukari, Ngano iliyokobolewa na ya Kisasa? Mafuta ya kupikia ya aina gani unayotumia? Unafanya mazoezi na mazoezi ya aina gani? Je unakunywa Pombe? Unakula sana Cabs? Sasa kabla hujamlaumu Janabi jiangalie wewe kwanza.
Alitakiwa atumie mafuta gani ?
 
Siku hizi limeibuka vuguvugu la watu kukimbiakimbia mbio mabarabarani. Unaweza kukuta mmoja mmoja au kikundi.

Miaka ya zamani hii kitu ilikuwa haipo maana maisha ya mtanzania wa kawaida ni jogging na nyongeza.

Leo katika pitapita zangu online nimekutana na mzungu anaponda hiyo kitu. Anasema ni Nike ambao walipromote hizo jogging ili wauze viatu huko US. Hii ilikuwa mwaka 1965.

Haina maana kukimbia klm hadi 10 eti kiafya wakati ungetembea kwa miguu klm hata moja na unakuwa fiti kabisa.

Wengi wa joggeres waliokubuhu wanasura za Kichovu, kizee na zisizo na nuru. Wale chronic joggers, Pia hapo baadae watakuwa wanaugua magonjwa ya misuri na kutetemea.

Haijengi afya, inaua afya.

Ni hayo tu.
Ushauri:
The safiest exercise in the world is Walking.
kumbe ndo manake askari wengi wamekomaa sura!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom