matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
- Thread starter
- #121
Wengi wamefanya kama sifa.Kuna mwanangu yuko BOA ameanza huo mchezo sasa ana mwaka wa 3 ila sura yake ukiifananisha na umri wake kimsingi mwana hana tofauti na mstaafu. Kipindi tunamaliza chuo alikuwa kijana mtanashati sana na kitambi cha kufutia simu kilikuwepo.
I do think he is overdoing it, maana unakimbia kilometre 15 kwa siku thats too much. Mi nafanya lifting kwa kiasi chake na kutembea tembea ndio sana. Thats enough for me as long as natoka jasho.
Kuna jamaa wanashindana eti leo nimekimbia km 40.
Mtu mwembamba huna shida yoyote unakimbia km 40 ili iweje.
Kuna kadada hadi sura umekuwa kama mbibi. Wakati alikuwa beautiful lady. Hajui kwa nini anafanya hayo.