Wanaofanya mazoezi ya mbio (jogging) hayana faida kiafya, ni matokeo ya matangazo ya biashara ya Nike

Wanaofanya mazoezi ya mbio (jogging) hayana faida kiafya, ni matokeo ya matangazo ya biashara ya Nike

hangaya anapiga tizi
 
Attachments

  • Screenshot_20231123_105534_Facebook.jpg
    Screenshot_20231123_105534_Facebook.jpg
    80 KB · Views: 2
Yan huwaga unanishngaza unajiandaa na full morale na kila kitu halafu mwisho wa siku unaghaili Shida ni nini lakini, sema kuna wazo nimegundua litakufaa nitakupa, hayo mafuta yataisha ila kwa nidham.
Uvivu tu, hamna kingine.
Ndo ujitahidi unibebe na ilo wazo tafadhali lisihusishe kuacha kula chips 🤣🤣
 
Siku hizi limeibuka vuguvugu la watu kukimbiakimbia mbio mabarabarani.
Unaweza kukuta mmpja mmoja au kikundi.

Miaka ya zamani hii kitu ilikuwa haipo maana maisha ya mtanzania wa kawaida ni jogging na nyongeza.

Leo katika pitapita zangu online nimekutana na mzungu anaponda hiyo kitu. Anasema ni Nike ambao walipromote hizo jogging ili wauze viatu huko US. Hii ilikuwa mwaka 1965.

Haina maana kukimbia klm hadi 10 eti kiafya wakati ungetembea kwa miguu klm hata moja na unakuwa fiti kabisa.

Wengi wanasura za kizee. Wale chronic joggers, Pia hapo baadae watakuwa wanaugua magonjwa ya misuri na kutetemea.

Haijengi afya, inaua afya.

Ni hayo tu.
Lengo lako tujue umekutana na MZUNGU online leo.
Acha kuabudu wazungu.
 
Uvivu tu, hamna kingine.
Ndo ujitahidi unibebe na ilo wazo tafadhali lisihusishe kuacha kula chips 🤣🤣
Sichukui mtu wa hivi baki na mafuta yako.. Yani unatoka jogging unakuja kupumzikia kwenye Chips na peps daily.. Kama trainer na hela yako Narudisha sitaki dharau
 
Sichukui mtu wa hivi baki na mafuta yako.. Yani unatoka jogging unakuja kupumzikia kwenye Chips na peps daily.. Kama trainer na hela yako Narudisha sitaki dharau
Usinifanyie hivyo mwalimu 😆😋😘
Ndio mwanafunzi mgeni sasa, natakiwa kwenda aste aste
 
Back
Top Bottom