Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado najiuliza Tundu Lisu angeongozaje nchi bila kutoza kodi wanyonge?!
Hakuna asiyependa kulipa kodi mkuu tatizo kodi kubwa na zinaumiza... fikiria kuna baadhi ya kumbi ndogo za kawaida mc analipwa 50k halafu unamwambie huyo mc alipe tozo ya 50k inaingia akilini kweli.?? Yaana afanye kazi hela yote serekali ichukue?Mkuu Yaani wewe Tii sheria za nchi bila masharti
Lipa kodi
Utafaidi sana
Vinginevyo utaumia maana maana mianya ya wapiga dili imeziba kabisa
Kama wamefuata hata maiti watashindwa kanisani??Hawa watu hawana akili kabisa sengerema ni wilaya ndogo sana kuna ukumbi gani pale mwenye ukumbi atoe 220,000 au 270,000 kwa ajili ya halmashauri?
Sengerema asili yake ni wasukuma na wasukuma wengi wanapenda kufanyia sherehe zao manyumbani au kwenye jamii yake.Anyway sasa hivi sherehe tutakuwa tunafanyia makanisani na penyewe waje wadai kodi..
Mfumo mbovu kabisa wa kutafuta mapato..sasa hivi kijana kuoa inakuwa adhabu..
Mnyonge ni mtu ambaye,hajitambui,mjinga ,legelege ,au zuzu,na unaweza kugeuzwa vyovyite atakavyo,Hii serikali sasa haitaki mtanzania abaki na chochote mfukoni, wanajiita serikali ya wanyonge kumbe ndio wanatufanya tuwe wanyonge kwa lazima?
Nikadhani wakijiita serikali ya wanyonge maana yake wanatusikiliza wanyonge kero zetu na kuzifanyia kazi, kumbe I was wrong in interpretation of that word "wanyonge"
Hakika wanatunyonga.
Unapaswa kupimwa akili...nadhani kuna shida mahali...aidha kichwan au tumboniTatizo watanzania tulizoea kuishi kiujanja ujanja Ndio maana tunaumia
Tii sheria bila shuruti
Lipa kodi
Utafaidi matunda ya awamu hii ya Rais mwema mwenye Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA wake
Vinginevyo utaumia sana maana mianya ya wapiga dili imeziba kabisa
Gharama za huduma zao zitapanda kodi itabebwa na mtumiaji.Sasa huyo mc analipwa 50k tozo yake sasa atoe 50k abaki na nini?
Wapishi wanalipwa mpaka 70k sasa tozo 30k mnataka nn nyie maCCM??
Hapo mwenye ukumbi ashalipa kodi na tozo nyingine
Kama wewe ulikua mpiga dili lazima unishangae maana Tanzania imebadilikaUnapaswa kupimwa akili...nadhani kuna shida mahali...aidha kichwan au tumboni
Hao MA mc wanatakiwa walipwe zaidi ili wawaze kulipa kodi ya nchiHakuna asiyependa kulipa kodi mkuu tatizo kodi kubwa na zinaumiza... fikiria kuna baadhi ya kumbi ndogo za kawaida mc analipwa 50k halafu unamwambie huyo mc alipe tozo ya 50k inaingia akilini kweli.?? Yaana afanye kazi hela yote serekali ichukue?
Kuna biashara zina kodi na tozo zaidi ya 4 unafikiri kuna kufaidi au kuumia?
Yes! Namba zimechapwa ukutani, na zisomwe na watu wote. Muiskiapo sauti ya baragumu, na kinubi, na kinanda, na tarumbeta wote muanguke kifudifudi - heshima kwa mfalme. Ole wake atakayekaidi agizo hili; pahala pake ni katika tundu ya simba.Nakumbuka kuna Mc tulimlipa 50,000/= nadogo alifanya poa tu kiroho safi sasa leo hii ikitakiwa nae aanze kulipa kodi 50,000/= itabidi nae apandishe afanye laki ili alipe 50 nayy abaki na 50
Kheri ya mwaka mpya mkuuNaam, lipeni kodi tujenge CHATO YETU.
... madensa wale wanaotunzwa kuendana na alivyo-perform? Alivyokata mauno? Serikali ipeleke watu wake milangoni ili wahesabu walichotunzwa serikali ipate mgao wake pale pale kuepusha udanganyifu.Naona wamewasahau Madensa