Siyo hawa wenye ijumaa yao tu hata nyinyi wa jumapili mitaa huwa inafungwa, njoo kariakoo jumapili mitaa ya likoma na masasi likoma na magila muhonda na ndanda mita ya asubuhi mitaa hiyo yote utakuta imefungwa.Wakuu habarini!
Leo mchana nilikuwa kariakoo, sasa kilichonishtua ni kuona mitaa mingi imefungwa watu wanaabudu barabarani...
Wakuu habarini!
Leo mchana nilikuwa kariakoo, sasa kilichonishtua ni kuona mitaa mingi imefungwa watu wanaabudu barabarani...
Wanafunga mtaa Kwa kibali cha nani?Mkuu Lavit itakua unakuja mara Moja Moja sana kkoo yaan Leo dkk 35-45 wanasepa, kipindi Cha mfungo tulikoma yaan saa kumi na moja mtaaa unafungwa mpaka saa mbili usiku na tushazoea
Miaka yote ni hvo tu hamna kibali wao wanakuja na mikeka yao na vyakula wanauza mbele ya msikiti....then wanakula bara baraniWanapewa kibali na polisi au wanajifungia tu?
Mi naonaga hv miaka yoteWanafunga mtaa Kwa kibali cha nani?
Wewe ndio unawahudumia sirini huko?Hao wala kitimoto kwa siri wana matatizo ya akili
Jengeni ghorofa Kadhaa kwenda juu pia wekeni sound proofwatu wengi wa posta na kkoo hawaishi maeneo hayo, kwahiyo hata ujenge jengo gani huwezi kujua idadi kamili ya waumini, kumbuka hayo maeneo yana wafanyabiashara na wateja, kwahiyo kwa ijumaa tuvumiliane tu hakuna jinsi ila siku za kawaida huwezi kukuta hilo jambo
hili jambo ni kawaida kwa ijumaa,.ukipita kesho jumamosi huwezi kukutaMi naonaga hv miaka yote
NGAZIJA posta ni ghorofa kama 2 lakini bado watu wanajazaJengeni ghorofa Kadhaa kwenda juu
😂Kuna mmoja kwenye ndege kaanza kusali kwenye corridor hapo hapo. Abiria wacha wapanick wakajua ndo anataka kulipua pipa huko huko angani
Sema itatokea siku yatotokea majanga maana mda mwngn yanasababisha foleni maana Kuna mda magari yanatokea huku bara bara ya mataa ya big bon.hili jambo ni kawaida kwa ijumaa,.ukopita kesho jumamosi huwezi kukuta
NdioWewe ndio unawahudumia sirini huko?