KERO Wanaofunga barabara ili kuabudu wako juu ya sheria?

KERO Wanaofunga barabara ili kuabudu wako juu ya sheria?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Sema itatokea siku yatotokea majanga maana mda mwngn yanasababisha foleni maana Kuna mda magari yanatokea huku bara bara ya mataa ya big bon...yanakuja kutokea msikiti wa Idrisa (tandamti) yanapandisha kupitia msikiti wa Madina sasa kukipigwa pin pale panakua na foleni sana
ni suala la sserikali za mitaa kuweka utaratibu ili kupunguza maafa, kuwe na ishara kuwa njia hii imefungwa kwa muda wakimaliza magari na watu waendelee kupita
 
Nani kakwambia qur an ilishuka? Muhammad anasema qur an ni daftari lake, unajua kazi ya daftari? Mwisho kabisa allah alikuwa mwehu sana aisee daah.
QURAN 40:40

Whoever commits a sin will be repaid only with its like. But whoever works righteousness, whether male or female, and is a believer—these will enter Paradise, where they will be provided for without account.

SWALI JINGINE
 
Hii ni serikali yao, hata wakikutemea mate wewe shukuru tu uondoke
Haya mambo yapo miaka yote labda kama ni mgeni Dar es salaam, hakuna Rais anaweza tumia nguvu zake kwenye mambo ya kiimani kama hakuna hatari kubwa kwao, ndio maana wakati wa JPM watu waliuana kugombania mafuta ya Mwamposa na bado Mwamposa akaachwa maana hakuna haja kuhoji jambo la kiimani kama halina madhara kwenye usalama wa nchi
 
Tatizo tunauweza ubabe halafu nyinyi ni mafisi

Maana mkileta za kuleta hata sisi kumi tu tuliamsha

Sababu mnaonekana jinsi mnavyoyanyaswa na polisi watano wanazima maandamano yenu

Sisi tunaletewa battalion nzima na bado tunaacha majivu
 
Wakuu habarini!

Leo mchana nilikuwa kariakoo, sasa kilichonishtua ni kuona mitaa mingi imefungwa watu wanaabudu barabarani...
Nilidhan ww mwenyeji DSM. Hio mbona kawaida sana kkoo, na wakazi wengi mitaa hio ni waislam
 
Mkuu jifunze kuheshimu imani za watu wengine jinsi ulivouleta huu uzi unaonesha kama unakebehi na alafu hii sio nchi ya kidini watz tunaishi kwa kuvumiliana ndio maana tuna amani
 
Wakuu habarini!

Leo mchana nilikuwa kariakoo, sasa kilichonishtua ni kuona mitaa mingi imefungwa watu wanaabudu barabarani.

Mbaya zaidi hakuna ishara yeyote utaiona kwmba mtaa husiku umefungwa, mtu unatembea mpaka katikati ya mtaa then unakuta kamba, ukizinguka mtaa mwingine unakuta watu wako mbio mbio na mikeka yao.

Nilivyojaribu kudadisi kinachiendea nikaambiwa ni kawaida, tena siyo kkoo tu ni mpaka Posta!

Ninachojiuliza hawa jamaa kinachowashinda kujenga nyumba za ibada zenye nafasi ni kitu gani!? Hili la kukatisha shughuli za wengine kisa imani yako sidhani kama ni ustaarabu!
chai
 
Back
Top Bottom