gammaparticles
JF-Expert Member
- Jan 9, 2024
- 1,407
- 3,855
Wewe ni MNYONGEWewe unajua?
Utupishe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni MNYONGEWewe unajua?
Hawa jamaa sijui vipi,siku kazini jamaa kaacha kitengo chake yuko chooni kabinuka.Kuna mmoja kwenye ndege kaanza kusali kwenye corridor hapo hapo. Abiria wacha wapanick wakajua ndo anataka kulipua pipa huko huko angani
KWa hiyo mkuu kwa kuwa wewe ni boss wake na unachukia imani yake ukaamua umkurupue?? Na kabisa unajiona una busara ya kuwa boss?? Basi mwambie abadilishe dini ili aendelee kuwa chini yako na kukusikiliza.Hawa jamaa sijui vipi,siku kazini jamaa kaacha kitengo chake yuko chooni kabinuka.
Nikamshtua oyaah wateja wanasubiri huko.
"Kashtuka"sawa boss nakuja
nikamwambia ndo utoe hivyo virago vyako twende.
maana alikua kabongöa jasho linamtoka viatu kavua.
Kuuliza naambiwa ndo hivyohivyo daily anapotea nusu saa anarudi.
😂😂😂😂😂😂Kuna mmoja kwenye ndege kaanza kusali kwenye corridor hapo hapo. Abiria wacha wapanick wakajua ndo anataka kulipua pipa huko huko angani
Hallo kila mtu na kitengo chake.KWa hiyo mkuu kwa kuwa wewe ni boss wake na unachukia imani yake ukaamua umkurupue?? Na kabisa unajiona una busara ya kuwa boss?? Basi mwambie abadilishe dini ili aendelee kuwa chini yako na kukusikiliza.
WAkati anaswali hukuweza kumhandle huyo mteja au ndio wale maboss tuma tuma? Eyes on Hands off?
Zinaweza kujengwa ghorofa 5 au 10NGAZIJA posta ni ghorofa kama 2 lakini bado watu wanajaza
It's a matter of Tolerance, hawasali siku nzima.Wakuu habarini!
Leo mchana nilikuwa Kariakoo, sasa kilichonishtua ni kuona mitaa mingi imefungwa watu wanaabudu barabarani.
Mbaya zaidi hakuna ishara yeyote utaiona kwamba mtaa husiku umefungwa, mtu unatembea mpaka katikati ya mtaa then unakuta kamba, ukizunguka mtaa mwingine unakuta watu wako mbio mbio na mikeka yao.
Nilivyojaribu kudadisi kinachondelea nikaambiwa ni kawaida, tena siyo K.koo tu ni mpaka Posta!
Ninachojiuliza hawa jamaa kinachowashinda kujenga nyumba za ibada zenye nafasi ni kitu gani!? Hili la kukatisha shughuli za wengine kisa imani yako sidhani kama ni ustaarabu!
Ni uhuni tuWakuu habarini!

....hatuna standard, kama machinga wanavyobana njia au kuifunga kabisa kwa kutandaza bidhaa zao njiani.Haiwezi kuwa kawaida, ni kukosa ustaarabu...kama msikiti umejaa rudi nyumbani! Huu ujinga huwezi kuukuta London wala NewYork!
Hii ni serikali yao, hata wakikutemea mate wewe shukuru tu uondoke
inawezekana kabisaa inategemea mfukoni sasa kukojeZinaweza kujengwa ghorofa 5 au 10
Majanga gani yatatokea? Huo utaratibu haujaanza jana wala leo upo miaka na miaka na hakuna majanga yeyote anayotokea na ndo maana serikali ipo kimya ni utaratibu ambao umezoeleka. Acheni watu waabudu. Kama mtu anakereka asipite ilo eneo atafute njia nyingine njia ziko nyingi!Sema itatokea siku yatotokea majanga maana mda mwngn yanasababisha foleni maana Kuna mda magari yanatokea huku bara bara ya mataa ya big bon.
Yanakuja kutokea msikiti wa Idrisa (tandamti) yanapandisha kupitia msikiti wa Madina sasa kukipigwa pin pale panakua na foleni sana
Umeshasema London hapa sio London. Kwavile London hakuna na hapa isiwepo? Au kwavile London ipo na hapa iwepo? Kama ndo ivyo London wanatetea ushoga na mashoga wana haki zao, kwahiyo na Tanzania pia tuwape nafasi mashoga? Hii ni Tanzania na kila nchi ina taratibu zake na mazoea yake, unakereka usipite hiyo njia au hamia London!Haiwezi kuwa kawaida, ni kukosa ustaarabu...kama msikiti umejaa rudi nyumbani! Huu ujinga huwezi kuukuta London wala NewYork!
Wanaolalamika humu wengi wao ni wakuja wameanza kuyaona leo hayaHaya mambo yapo miaka yote labda kama ni mgeni Dar es salaam, hakuna Rais anaweza tumia nguvu zake kwenye mambo ya kiimani kama hakuna hatari kubwa kwao, ndio maana wakati wa JPM watu waliuana kugombania mafuta ya Mwamposa na bado Mwamposa akaachwa maana hakuna haja kuhoji jambo la kiimani kama halina madhara kwenye usalama wa nchi
Serikali iingie kwa miguu miwili kabisa hii itaenda mbali kama wasipo ingiliaWakuu habarini!