KERO Wanaofunga barabara ili kuabudu wako juu ya sheria?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Wabaolalamika hiyo Dar ni wakuja, rudini makwenu, muislamu mahali popote palipo pasafi anaweza kusali na imekua hivyo kwa dar na miji mingine hasa kwa sala zinazohusisha watu wengi, huo ni utamaduni ukishindwa hama wewe waache watu na mambo yao
 
Huwa nafarijika nikikutana na muumini ambaye hatumii mihemko ya dini kuhoji mambo fulani. Ubarikiwe.
 
Tatizo tunauweza ubabe halafu nyinyi ni mafisi

Maana mkileta za kuleta hata sisi kumi tu tuliamsha

Sababu mnaonekana jinsi mnavyoyanyaswa na polisi watano wanazima maandamano yenu

Sisi tunaletewa battalion nzima na bado tunaacha majivu
Mkuu, umeandika ujinga. Mnatukuza violence wenyewe badae vijana wenu wakianza kujilipua mnamlaumu Mmarekani.
 
Haiwezi kuwa kawaida, ni kukosa ustaarabu...kama msikiti umejaa rudi nyumbani! Huu ujinga huwezi kuukuta London wala NewYork!
You're being islamophobic brother, Huwezi kulinganisha london na Tanzania kwasababu percentage ya waislamu uingeleza ni ndogo mno sio kama Tanzania, hata huko uingeleza kuna shughuli za kidini zinazopelekea pia barabara kufungwa. We must learn to peacefully co-exist with each others huwezi kusema kero kwa kitu cha dakika kadhaa tu Mbona watu hupishwa kufanya maandamano, barabara hufungwa kwaajili ya misafara ya viongozi, mikutano na mihadhara mingine hata nyie Christians pia huwa naonaga sana wahubiri wanasimama njiani kutanganza dini na watu wanajaa tunakosa pa kupita ila hakuna anayecomplain kwasababu hii ni nchi yetu sote
 
Wanaolalamika humu wengi wao ni wakuja wameanza kuyaona leo haya
Nyie ndio wale ambao hamjawahi kutoka nje ya jiji. Mpo kwenye comfort zone. Ungekua umetembea usingetoa comment kama hii maana huu utaratibu upo karibu nchi nzima.
 
Wabaolalamika hiyo Dar ni wakuja, rudini makwenu, muislamu mahali popote palipo pasafi anaweza kusali na imekua hivyo kwa dar na miji mingine hasa kwa sala zinazohusisha watu wengi, huo ni utamaduni ukishindwa hama wewe waache watu na mambo yao
Walewale, huu utaratibu upo karibu nchi nzima.

Unaweza ukashauri kitu kizuri zaidi ya hiki ulichoandika.
 
Haiwezi kuwa kawaida, ni kukosa ustaarabu...kama msikiti umejaa rudi nyumbani! Huu ujinga huwezi kuukuta London wala NewYork!
Ndio maana sometimes tunawatukana mbovu mambulula kama nyinyi, na hii inaonyesha wazi wazi wewe ni mporipori na huna exposure na unaendeshwa na ulukole mavi
Niliposema sisi ni wababe na tunafanya hivi makusudi, sio bongonyoso hata huko kwa mabwana zenu mnaowaabudu iwe UK au New York, tukiamua kufunga barabara tunafunga tu

Kuna mmoja kwenye ndege kaanza kusali kwenye corridor hapo hapo. Abiria wacha wapanick wakajua ndo anataka kulipua pipa huko huko angani
Yule naye sala yake badala ya thawabu amepata dhambi ... Haitakiwi vile kwa alikuwa na uwezo wa kusali akiwa amekaa kwenye kiti chake .. miongozo ipo wazi kabisa
 
Wewe ndio unatakiwa uwe mstaarabu subiri, pita njia nyingine au rudi ulipotoka
 
Wajenge nyumba za kuabudia za maghorofa
 
Wabaolalamika hiyo Dar ni wakuja, rudini makwenu, muislamu mahali popote palipo pasafi anaweza kusali na imekua hivyo kwa dar na miji mingine hasa kwa sala zinazohusisha watu wengi, huo ni utamaduni ukishindwa hama wewe waache watu na mambo yao
Ndio mfunge barabara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…