Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?

Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?

dalili ya mvua ni mawingu na dalili ya upinzan kuptea yani chadema wameisha kufungasha vilivyo vya kwao na warudi walipo, watanzania wanataka maendeleo na siyo kamati za harusi na send off
 
dalili ya mvua ni mawingu na dalili ya upinzan kuptea yani chadema wameisha kufungasha vilivyo vya kwao na warudi walipo, watanzania wanataka maendeleo na siyo kamati za harusi na send off
Sasa hayo Maendeleo yako wapi? Ajira zinapotea, mabenki yanashindwa kufanya kazi, elimu ndiyo hiyo imekuwa bora elimu, maisha yamekuwa ya hovyo kuliko wakati mwingine wowote. Sasa mnaongelea nchi gani? Na kwa nini chaguzi mnatumia mbinu chafu kama mnakubalika?
Nadhani kunatatizo vichwani mwenu sio kawaida
 
Pascal hapa Tanzania hatuna wanasiasa ambao kwenye moyoni mwao wanafanya kazi kwa maslahi ya taifa. Rais Magufuli ameweka juhudi kubwa kuleta mabadiliko lakini naona hapati usaidizi wa uhakika. Hawa wanasiasa watahamia CCM lakini kwa maslahi maalum.
 
Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita Mwikwabe Waitara, atangaza kuniuzulu CHADEMA na kuhamia CCM. Kajiuzulu nyadhifa zake zote ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
Wimbi la wabunge wa Chadema kuhamia CCM, linaendelea.
Naendelea kusisitiza, wahamaji hawa wasibezwe, wanaona mbali!.

Kuhusu Waitara, najua kuna wengi watamshangaa kwa uamuzi huu, sisi tuliokuwa UDSM, tangu Waitara anagombea DARUSO, hatushangai, na sii Waitara pekee, all ma opportunists, wataondoka, wengi wanasubiri tuu Bunge livunjwe ile 2020 ndipo wa cross!.

P.
 
Last edited:
Wimbi la wabunge wa Chadema kuhamia CCM, linaendelea.
Naendelea kusisitiza, wanaona mbali

P.
Pashal na uwe muwazi pia kwa kusema hivi...'Wengi wa wabunge wa UPINZANI wanakimbia vyama vyao kutafuta huruma ya CCM ama kuelekea 2020 au kujitengenezea mazingira ya teuzi baada 2020....na hii yote inatokea baada ya asilimia kubwa ya upinzani kuona kabsa JPM hatanii juu ya maendeleo ya nchii.....na ukweli mwingne ni kwamba CCM UNDER JPM inapendwa kupita vipindi vyote
 
Upo sahihi, 2020 majimbo yote yatarudi ccm, ila ninachowasikitia watu kama Waitara ni kuwa ndani ya hiyo ccm bado hawana sifa ya kupitishwa pia maana hawana sifa, yaani wanazidi kujiharibia tu.
 
Wimbi la wabunge wa Chadema kuhamia CCM, linaendelea.
Naendelea kusisitiza, wahamaji hawa wasibezwe, wanaona mbali!.

P.
Lazima wakimbilie Huko ili waendeleze kupata hela kwani hakuna shuguli wanayoweza kuifanya zaidi ya Hiyo kupiga domo longolongo nyingi tu wanasiasa ndomana wanasiasa wakirudi uraiani huwa wana data,kwa style Hyo lazima waendekeze njaaa

Ova
 
Pashal na uwe muwazi pia kwa kusema hivi...'Wengi wa wabunge wa UPINZANI wanakimbia vyama vyao kutafuta huruma ya CCM ama kuelekea 2020 au kujitengenezea mazingira ya teuzi baada 2020....na hii yote inatokea baada ya asilimia kubwa ya upinzani kuona kabsa JPM hatanii juu ya maendeleo ya nchii.....na ukweli mwingne ni kwamba CCM UNDER JPM inapendwa kupita vipindi vyote
Yaan mkuu watu wanavyolia njaa huku mtaani bado unasema ccm inapendwa
 
Back
Top Bottom