Wanaoibeba Tanga ni Wadigo na wabondei

Kibaya zaidi hata wanawake wa kidigo wanaolewA sana na vijsna wa kisambaa kwa sababu ni wachacharikaji.Muda si mrefu kabila ls wadigo litapotea.Sasa hv wasambaa wameingia mpaka baharini.Vijana wengi wa kidigo wanalelewa na wazazi wao hawajitumi.
 
Kweli kabisa ushahidi huu hapa
 
Attachments

  • 5207757-69863676912bf28a887f88e56febe3a9.mp4
    7.6 MB
Tanga kiuchumi imeshika na wahindi, wachaga na wasambaa , wadigo wanamiliki nyumba chakavu za iridhi za wakati WA mkoloni
 
Ukisikia Tanga raha na mengine mazuri ni kazi ya wadigo na wabondei, vitu kama elimu, mapenzi, mapishi, ukarimu na uzungumzaji wa lugha fasaha ya Kiswahili. Waliobakia kama Wasambaa na Wazigua ni watu washamba tu na kazi ngumu
wanaibeba tanga kwa lipi?
 
Ukisikia Tanga raha na mengine mazuri ni kazi ya wadigo na wabondei, vitu kama elimu, mapenzi, mapishi, ukarimu na uzungumzaji wa lugha fasaha ya Kiswahili. Waliobakia kama Wasambaa na Wazigua ni watu washamba tu na kazi ngumu
kufanya kazi sio ushamba ndio kusema ujaja ni kuchoma chapati na vitumbua kwa kina mama wa kidigo waume kushinda vibarazani?
 
kiswahili chenyewe hawakijui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…